
RAIS Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete(kushoto) wakiwa na mtoto Frank Charles Valia (9) I kulu ya mjini Dodoma leo asubuhi.Mtoto huyo Frank(watatu kushoto) na baba yake mlezi Khamis Said(wapili kushoto) walikwenda Ikulu ya Dodoma kumshukuru Rais Jakaya Kikwete aliyegharamia matibabu ya Frank huko India ambapo anatarajiwa kurudi baada ya miezi sita.Mtoto Frank alipata ulemavu wa kupinda mgongo baada ya kuanguka kutoka juu ya mti.
Comments