Oster Bay Jijini Dar wakitoka katika kanisa hilo , mara baada ya tukio la kihistoria katika imani.
Kwa kawaida mtu hutiwa hatiani kwa kosa lakini kwanza ,kisha adhabu ufuata lakini Pilato lakini PILATO HAKUONA KOSA , Kisha akasonga mbele kumwadhibu ,baada ya Wayaudi kulazimisha kwamba asulubiwe na damu yake iwe juu ya waona watoto wao.
"asulubiwe na damu yake iwe juu ya vichwa vyao na watoto wao" Lakini yote haya nikwaajili ya Neno kutimia.
"Eloi ,Eloi ,lama sabachthani,mungu wangu munguwangu ,mbona umeniacha "Marco15:34.
Basi iinimeamua kuonesha mabo jinsi yalivyokuwa kwa waamini leo mimi nikiwa mmoja wapo
katika Kanisa la M.T peter Oster Bay jioni hii.
Comments