Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Kuratibu Silaha ndogondogo hapa nchini, Jumanne Aprili 27, 2010 saa 2.00 asubuhi
itakutana ili kupitia maazimio ya mapendekezo ya mshwaada wa kurekebishaji sheria za kumiliki silaha hapa nchini. Msemaji Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini Kamishna Msaidizi Abdallah Mssika, amesema kuwa Mkutano huo ambao utafanyika
Makao Makuu ya Jeshi la Polisi kuanzia saa 2.00 asubuhi, utawashirikisha baadhi ya Maafisa wa Wizara na Idara za
Serikili zinazojihusisha na masuala ya kiusalama pamoja na baadhi ya Mabalozi wanaoziwakilisha nchi zao hapa nchini.
Mkutano huo ambao pia utahudhuriwa na Mkuu wa Jeshi la Polisi na Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai
utafunguliwa na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mh. Lawrence Masha.
Kutokana na umuhimu na uzito wa masuala yatakayozungumziwa siku hiyo, Wahariri mnaombwa kutuma waandishi na wapiga
picha

Comments