MWASTI akamua Track hii twayo I am gonna -Shine Akiwa na Tatiana AEGIES RECORDS.
Aliye simama ni Cheef Producer wa AEGIES RECORDS AITWAYE Ather K-D .

VIFAA vya kuchukulia picha vya MTV vikiwa sehemu ya mapokezi AEGIES RECORDS ni moja ya studio yenye sifa ya pekee nchini hapa kuna wanyamwezi wengi kutoka Ulaya waliokwisha record nyimbo hapa wakiwa na wasanii watanzania huwa wanaikubali kuanzia mandhari hadi ndani ya Studio ambayo ni mjengo mzima huu.

NIKONA watu maalum sana hapa ndani ya Studio za AEGIES RECORDS kulia ni Meneja wa Tatiana Alice Mtumba na Producer Gleela wa kutoka majuu mimi Machibya niko katikati Gleela aliye jishika sehemu ya sikio lake ni mtu mchangamfu sana na hata pozi hili alinielekeza nikae hivi .

KATIKATI ni Ather K- D Cheef Producer wa Studio ya AEGIES RECORDS akiwa na ujowa watu flani wa kwanza kutoka kushoto ni Alice Mutumba - Manager a Tatiana na wa kwanza kutoka kuliani Geela ambaye ni Producer wa mbele (Majuu) alisha fanya kazi na Kampuni kubwa ya Sony..

MTV walikuwa wakichukua picha za tukio la Tatiana .

HAPA ndi kwanza geti limefunguliwa Tatiana akingia AEGIES akiwa ndani ya gari la Ubalozi wa Angola .

TATIANA akitua AEGIES RECORDS.

NI leo Tatiana atinga kukamua AEGIES RECORDS studio iliyopo pande za Mikocheni Dar es Salaam majira ya saa 12 jioni leo , ilindilo get la studio hiyo.

MENEJA wa Tatiana Alice Mutumba akiwa pamoja na Prodyuza Geela ambaye utwanga mzingo mambele paia amesha fanya kazi nyingi akiwa na kampuni maarufu ya Sony leo alifanya kazi ya mikono yake katika maujanja hayo AEGIES RECORDS.
Comments