kutoka Misri kwa mabao 2-2.
Simba iliwachukua dakika nane kipindi cha pili kunza karamu ya mabao, bao la kwa katika dakika hiyo lilifungwa na
Emmanuel Okwikutoka na mpira uliookolewa kizembe na beki Mohamed Micky .
Wekundu wa Msimbazi waliendelea kushambulia mara baada goli la hilo la kwanza ambapo dakika ya 71wa waliruhusu tena bao Haras EL- Hadoo lilofungwa na mshabuliaji nyota wa simba Mussa Hassan 'Mgosi' , golo lililo sababisha hadi
mishwa wa mchezo simba kuongoza kwa bao 2-1.
Simba :Juma Kaseja , Salum Kanoni ,Juma Jabu ,Kelvin Yondani, Joseph Owino , Jerry Santos , Ramadhan Chombo , NiccoNygawa na Mike Baraza ,Mussa Hassan , Emmanuel Okwi na Uhuru Selemani,Mhamedi Kijuso.
Comments