Skip to main content

Atimaye Transifoma Iliyogongwa kinondoni ya Tengemaa.

HAPA hii ni Saluni moja wapo ambapo nilipita na kuchonga na wafanyakazi wake eneo la Kinondoni lililo kuwaukosefu wa Umeme ni Shebby Barbar hapo karibu kabisa na kituo cha Daladala cha Vijana ambapo walisema kukatika huko kumewaathiri kwa kukosa kipato.

BAADHI ya sehemu katika eneo la Kinondoni lilikuwa likitumia mfumo huu wa Umeme baada ya Transifoma moja inayosababisha kutawanya Umeme kugongwa na Gari.



NI eneo la Vijana karibu na Mango Garden Jijini Dar es Salaam , ambapo siku ya Alhamisi Usiku


nguzo ya Umeme ilianguka baada ya kugongwa na Gari.







GARI la Tanesco likiwa na mafundi Umeme leo saa kumi jioni , walikuwa wakiweka Transifoma Mpya , baada ya nguzo kuanguka kwa kugongwa na gari siku ya Alhamisi wiki hii , baadhi ya maeneo ya Kinondoni yalikubwa na adha ya kutokuwa na Umeme tangu kuanguka kwa nguzo hiyo.




Comments