Skip to main content

Hi ni Hali ya Mazingira ya Ofisi za TFF Leo Jioni.

NI leo jioni hapa ni Ofisi za Chama Cha Soka (Tanzania Football Federation) kulikuwa kumetanda Polisi wengi , siunajua jumapili kunani pale kwenye dimba la Taifa kwa hiyo hali hii ni mpango mzima kuwa baadhi ya gari zinazo huza tiketi kitaa ndio zilikuwa zimerudisha mpango mzima ndio maana Polisi wako stend bai.

FUNDI akionekana kufanya juu chini ili gari hilo liweze kuondoka .



NI mtaa wa Living Stone Kariakoo karibu kabisa na Bank ya NMB , gari kubwa lilikaa
eneo hilo kwa masaa kadhaa na kusababisha usumbufu mkubwa , leo majira ya sanne asubuhi.


Comments