MABANGO makuwa yanayotangaza Kampuni ya simu ya Vodacom , sasa yameonekana kuwa na picha ya msanii nguli nchini Abwene Yessaye 'Ay' , hii ni mitaa ya Posta Dar.
ENEO hili kwa pembeni kuna ghora moja ndipo Bango hilo , namna kama hii ndiyo inaweza kuwafanya wasanii kuweza kupanda kimaendeleo kwani inawezekana akawa anamkataba mrefu na mnene , hali hii inaweza kuwapaisha wasanii kujikuta katika daraja jingine , ila licha ya kupata

chati ya namna hii 'AY' amekuwa ni msanii mwenye kujituma na kulinda umaarufu wake usidondoke tangu ajulikane katika ranani ya Bongofleva.
Na Mabango ya aina hii yapo karibia eneo kubwa la Dar .
Comments