SHANGAI Hizza ama Dj Crucial akiwa akiwa nami Machibya jana usiku Mzalendo Pub , alisha wahi kuwa Dj mzuri yaani mwenye usipuni katika kiwanja cha Club Billicanas miaka ya 2004 na Blue Pum na baadaye kutimkia Dubai ambapo yuko uko katika kiwanja maarufu sana ukiwa Dubai kiitwacho ZINC jana tulikuwa tumepata wasaha mzuri wa kuongea machache .
HAPA papo mzuka mwingi Flava Nite imesimama ilemabaya ni maneno ya Dj Crucial aliye upande wa kulia akimwambia mchongo huo Dj Mackay jana usiku Mzalendo Pub.
Comments