
BANGO ili ndicho kielelezo cha wapi inatolewa Semina hiyo , wahusika ni hao juu ya Bango katika maandishi ni kila Jumatoano kuanzia saa 9 hivi hadi jioni kijua cha usoni kinapokuwa kikielekea Magharibi zaidi kuzama .

HAPA ni kwenye Semina ni nzuri na inayotia tija Kisaikolojia na wadau katika Semina hiyo
hutoa mchango wa kimawazo na wanavyo fahamu juu ya Inshu usika katika Semina hiyo.
Comments