SiKU simba ilivyo ibenjua timu ya Lengthens ya Zimbabwe kwa idadi ya mabao
2-1 dimba la Uhuru na kuifungasha timu hiyo katika michuano ya Shirikisho la Soka Afrika.
Mhina Kaduguda akiwa mishe mishe Jijini Dar , mida ya asubuhi.
KATIBU Mkuu wa klabu ya Simba Mhina Kaduguda akiwa kitaa nje ya Club Billz muda wa asubuhi , huku akiwa bize na simu yake ya mkunoni kabla ya hapo , dakika chache aliwakikishia
washabiki wa simba kwa mdomo kwenye kibanda cha kuuza magazeti , aliongea kuwa wekundu wa Msimbazi ni kiboko ya timu za Misri hata hivi sasa Haras El Hadood itakayomenyana nayo hivi karibuni kwa sasa mawazo yao yako kwa Simba kutokana na Wekundu kuwa na upinzani wakweli katika mechi zote za Mafarao hao.

Comments