Semina ya TNGP naendelea kuwalushia hapa maelezo na mitazamo ya Jamii iliyoko mitaani
inayojadili mambo kibao kupitia Semina hii , inafunua mawazo , mitazamo nk.
Kundi la tatu lidili na mchoro huo na kusema kuwa taswira ya picha ni hiyo katika tafakuri ni hii
Mkulima hapewe elimu ya kumiliki Shamba , kufundishwa kutumia miundo mbinu lasivyo Kilimo Kwanza itakuwa ni ajila ya watu wenye uwezo tu , kama si vyo hali kama hiyo bila kufundishwa kutumia miundo mbinu hiyo watakuwa wakimiliki mabebari na mkulima mdogo kutoguswa na Sera ya Kilimo Kwanza.
Comments