JAJI MKUU MH. AUGUSTINO RAMADHANI AMESEMA LEO MJINI IRINGA KWAMBA WAO MAHAKAMA KAMA TAASISI INAYOFUATA SHERIA
WATAFUATA MAELEKEZO KWA MUJIBU WA SHERIA ILIYOPO AMA ITAYOWEKWA NA SI KUFUATA WARAKA.
"SISI KAMA MAHAKAMA TUNAFANYA KAZI KWA KUFUATA SHERIA SIO WARAKA"ALISEMA JAJI MKUU, KWENYA HAFLA YA MASHINDANO YA
VITIVO VYA SHERIA VYA VYUO VIKUU ILIYOFANYIKA CHUO KIKUU CHA RUAHA.WIKI ILIYOPITA WAZIRI WA HABARI, UTAMADUNI NA MICHEZO MH. GEORGE MKUCHIKA ALITOA WARAKA BUNGENI KUTAKA KILA IDARA YA
SERIKALI KUENDESHA SHUGHULI ZAKE KWA KIMATUMBI, JAMBO AMBALO LILIPOKELEWA KWA HISIA TOFAUTI NA WADAU WENGI WAKISEMA
HII NI HATUA NZURI KUKUZA KISWAHILI.
WENGINE WAMEBEZA WARAKA HUO KWA KUSEMA UTAIFANYA TANZANIA KUBAKI KISIWA KWANI KWENYE MASUALA YA KIMATAIFA AMBAPO
KINATUMIKA KIMOMBO, NCHI HII ITAACHWA NYUMA.

Comments