
USHABIKI wa Simba ulisherekewa pia pande hizi , hapa ni Mango Garden inapopiga bendi ya Extra Bongo kila jumapili , shapiki huyoooo ... !! Alionekana kwenda sambamba nyimbo za bendi hiyo kwa akiwa na furaha tele za ushindi wa timu yake ya Simba iliyoichabanga 4-3 Yanga jana dimba la Taifa.
Comments