WAKAZI wa jiji wakiwa katika miangaiko yao ya kila siku , ni leo eneo la Mtaa wa Kongo Dar es Salaam , hali ikionesha kuwa na mvua zinazoendelea kunyesha kwa muda mrefu.
NI maeneo ya Mikocheni gari lionekanalo likisukumwa , lilisukumwa kwa umbali mrefu sana , kwani lilizimika likiwa katikati ya maji katika bara bara iendayo Kawe Mikocheni leo saa za jioni.
Ni ekaeka katika barabara ya Mikocheni leo.
ZOTE ni eneo la Barabara ya iendayo Kawe , Mikocheni leo muda mfupi kuanzia sasa.
HAPA ni Tanesco Mikocheni Dar , Muvua zimenyesha katika jiji zima kuanzia jana mpaka kuamkia leo , kikwazo cha kuingiza kipato leo sasa ilikuwa hivi , foleni kutoka Kariakoo kuelekea Mwenge shughuli hilikuwa we hacha tuuu.....!!! uku Mikocheni nako hali ndiyo hii.
NI Mikocheni kulikuwa hivi , Japokuwa eneo hili mpaka kufika Kawe huwa kunaishi watu flani na Viongozi wa Serikali lakini hali ilikuwa hivi pamoja na kuwepo kwa Ofisi mbali mbali ikiweko Redio moja maarufu Clouds FM .
Comments