HUU ndio mshumaa unaong'ara Club Masai Kinondoni anaitwa Dj TIX utamtaka babuu akiwa kwenye milazo , hapa ni jioni flani hivi blog ilimbamba eneo la Kino Dar es Salaam.
WAKIWA kwenye pozi la pamoja madj wa Club Masai Usiku wa Pasaka.
WANAONESHANA mautundu hapa.
HAPA ilikuwa Usiku wa Pasaka alitoa maujanja ya kuweza kudatisha kila mmoja , mara kadhaa blog hii huwainapiga naye stori nyingi hata anapokuwa nje ya udj yaani katika anga za kila siku maeneo tofauti , ndiyehuyo aliyekenye mashine , katika usiku huo alifanya misuguo ile le.
Comments