HUYU ni Mos kijana anayekuja juu sana katika tasnia ya uchoraji wa michoro mbali mbali ambaye huwa yuko beka kwa bega na Marco Tibasma katika Ofisi hizo zilizopo nyuma ya Chuo Kikuu Huria Kinondoni Dar es Salaam.
piga naye stori na kuangalia mtazamo wa Pasaka.
Kaka Marco ni moja ya watu wangu wa muhimu kwa mchango wake kwangu katika blog hii namambo mengine mema katika jamii hapa tuliongea mengi na akanipambanulia mengi tu ,
katika madhingira haya yanayokwenda na wakati .
Comments