Skip to main content

Promosheni ya Hamisi Ma SMS Yazidi Kupaa






MENEJA Masoko wa Kampuni ya simu ya Zantel Bw. William Mpinga (kulia) akimkabizi kitita cha sh. 200,000 kwa mshindi wa promosheni ya 'Hamisi Ma SMS' Bw. Alen Castro mkazi wa kitunda Dar es salaam

Comments