Walioshuhudia
wanasema mlipuko huo ulitokea mashariki mwa mji huo, ripoti moja
ikielezea kwamba ulitokea kwenye barabara ya Jalalabad, ambako kuna
kambi kadhaa za kijeshi zinapatikana.
Ziara ya rais Obama na hotuba hiyo kupitia televisheni inakuja wakati waandishi wanasema raia wa nchi hiyo wameanza kukosa subira katika vita vinavyoendelea nchini Afghanistan.
Bwana Obama na Karzai walitia saini makubaliano ya ushirikiano wa miaka 10. Muungano wa NATO, tayari umejitolea kuwaondoa wanajeshi wake kufikia mwaka 2014.
Takriban wanajeshi elfu 23 miongoni mwa wanajeshi elfu 88 waliokuwa nchini humo wanatarajiwa kuondoka mwishoni mwa mwaka huu, huku wanajeshi wote wa Marekani na NATO wakiondoka kufikia mwaka 2014.BBC

Comments