.WASANII wengi wa nchi zilizoendelea wamekuwa wakihakikisha vizazi vyao vinavaa viatu vyao.
Hii tumewahi kuishuhudia kwa wakali mbalimbali, ambao watoto wao wakianza kupata akili huanza kuwafundisha fani mbalimbali.
Iwe kwa wanamuziki, waigizaji au hata wachezaji mpira, huakikisha kizazi chao kinafuata nyayo hizo katika siku za usoni.
Willow Camille Smith ni mwimbaji na mwimbaji kutoka nchini Marekani ambaye amezaliwa 31 Oktoba 2000.
Yeye ni binti wa mkongwe wa muziki na filamu Will Smith na Jada Pinkett Smith ambaye pia ni kama mume wake.
Willow alianza kuonekana katika ulimwengu wa filamu mwaka 2007 alipoigiza ile ya I Am Legend na baadaye alionekana katika Kit Kittredge.
Filamu hizo mbili ziliweza kumfanya Willow kupata tuzo ya msanii bora chipukizi, kututokana na uwezo mkubwa aliouonyesha huku akiwa katika umri mdogo.
Mwaka 2010 ndio alijikita katika tasnia ya muziki baada ya kutoa 'single' yake ya kwanza " Whip My Hair " na " 21 Girl Century ".
"Whip My Hair" ulifanikiwa kushika nafasi ya 11 kwenye chati za Billboard Hot 100, huku video yake ikinyakua tuzo ya video bora ya mwaka katika tuzo za BET 2011 .
Nyimbo hizi mbili zilimvutia mtayarishaji mkongwe na mfalme wa Hip Pop kwa sasa, Jay-Z ambaye alimpa mkataba katika studio ya Nation Roc .
Willow ana ndugu zake wawili Trey Smith ambaye amechangia baba, na Jaden Smith.
Willow na ndugu zake ni mabalozi vijana kwa ajili ya Mradi wa Zambia , ambayo unatoa msaada kwa watoto yatima kutokana na Ukimwi kwa kushirikiana na Hasbro.
Kwa sasa Willow pamoja na ndugu zake wapo katika mchakato wa kutoa albamu mpya ya pamoja baada ya mama yao Jada kuthibitisha hilo.
Pia Willow kwa katika mahojiano na kituo cha MTv hivi karibuni alidai kuwa kwa sasa anataka mwaka huu ajikite zaidi katika filamu kuliko muziki.
Binti huyo anasema ataki kuwa kama baba yake ambaye kuna wakati alishindwa kujitambua kipi anakipenda zaidi kati ya filamu na muziki.

Comments