Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,
Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete akipiga picha kwa ajili ya Kitambulisho cha
Taifa wakati alipokamilisha taratibu za kupatiwa Kitambulisho cha Taifa
nyumbani kwake asubuhi ya Jana, Ijumaa, Februari Mosi, 2013.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,
Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete akitia saini baada ya kuthibitisha maelezo yake
binafsi kwenye Fomu ya Kitambulisho cha Taifa wakati alipokamilisha taratibu za
kupatiwa Kitambulisho hicho nyumbani kwake jijini Dar es salaam jana, Ijumaa, Februari
Mosi, 2013. Kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa
(NIDA) Bwana Dickson E Maimu.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,
Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete akitia saini Kitabulisho cha Taifa wakati
alipokamilisha taratibu za kupatiwa Kitambulisho cha Taifa nyumbani kwake asubuhi
ya jana, Ijumaa, Februari Mosi, 2013. Kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya
Vitambulisho vya Taifa (NIDA) Bwana Dickson E Maimu.Picha na IKULU
Comments