Majibu ya Diamond kuhusu Penzi la Vj Penny, Show ya Rwanda, kumroga Q-Chief na alichofanyiwa na Tanzanite
Bongo5.com wrote:
Diamond Platnumz kupitia kipindi cha XXL cha Clouds fm, ameamua kufunguka kwa undani kuhusiana na shutuma zinazoelekezwa kwake kuanzia kudaiwa kutumia waganga wa kienyeji kuosha nyota yake na scandals zingine.
Kuhusiana na mganga anayedai kuwa atamshusha Diamond baada ya kumtelekeza, Diamond amesema:

Comments