Amber Rose pamoja na demu wake, Wiz Khalifa wamekua wazazi wa mtoto wa kiume! Sebastian Taylor Thomaz amezaliwa Alhamis mchana (kwa muda wa Marekani).
Hapo kabla, Baba wa mtoto huyo, Wiz Khalifa ali-post picha akiwa amevaa scrubs na mask za hospitali yenye maneno "daddy time."

Mida ya 2pm, alipost tena;
"Happy Birthday Sebastian "The Bash" Taylor Thomaz!!! Everyone welcome this perfect young man into the world"

Comments