Muigizaji wa filamu Bongo, Wema Sepetu ameonesha picha za ofisi ya kampuni yake aliyoifungua, Endless Fame Films. Kampuni ambayo anatarajia kuizindua hivi karibuni.
Angalia hizi Picha kumi (10) zikionesha kona zote za Ofisi hiyo ya maana, hii inaonesha jinsi gani Wema amejipanga sana...
Waiting Lounge.
Ofisi ya Wema.
Washing Room.
Ofisi ya Secretary.
Reception.
Comments