Vodacom Foundation yatoa msaada wa kompyuta 10 zenye thamani ya Milioni saba kwenye shule ya sekondari ya wasichana ya MT.Theresa wa Avila
Mkuu wa Vodacom Foundation Bw.Yessaya Mwakifulefule
(kushoto)akimkabidhi Bi. Jacquline Augustine moja ya kompyuta kati ya 10
zenye thamani ya Milioni 7 zilizotolewa kwa msaada na Vodacom
Foundation kwenye shule ya sekondari ya wasichana ya MT.Theresa wa
Avila,anaeshuhudia kulia ni Meneja biashara wa kitengo cha Mahusiano
Vodacom Bi.Lilian Kisamba.
Mkuu wa Vodacom Foundation Bw.Yessaya Mwakifulefule na Meneja
biashara wa kitengo cha Mahusiano Vodacom Bi.Lilian Kisamba,wakimkabidhi
kompyuta kati ya 10 zenye thamani yua shilingi Milioni 7,Mwl.Joyce
Martin wa shule ya sekondari ya wasichana ya MT.Theresa wa Avila.Iliyopo
Mkoa wa Shinyanga Wilaya ya Kahama.
Baadhi ya wanafunzi wa shule ya sekondari ya wasichana ya
MT.Theresa wa Avila,wakipokea moja ya kati ya kompyuta kumi toka kwa
Mkuu wa Vodacom Foundation Bw.Yessaya Mwakifulefule zenye thamani ya
shilingi Milioni zilizotolewa msaada na Vodacom Foundation hivi
karibuni.
Wanafunzi wa shule ya sekondari ya wasichana ya MT.Theresa wa
Avila.Iliyopo Mkoa wa Shinyanga Wilaya ya Kahama,wakifatilia kwa ukaribu
makabidhiano ya kompyuta kati ya 10 zenye thamani ya Milioni 7
zilizotolewa msaada na Vodacom Foundation.
Baadhi ya wananchi na wazazi wa wanafunzi wa shule ya sekondari
ya wasichana ya MT.Theresa wa Avila.Iliyopo Mkoa wa Shinyanga Wilaya ya
Kahama,walifika kushuhudia makabidhiano ya ya kompyuta kati ya 10 zenye
thamani ya Milioni 7 zilizotolewa na Vodacom Foundation mwishoni mwa
wiki.
Comments