Skip to main content

Muziki wa dansi

Ukitaka kuongea muziki wa dansi uliingiaje nchini ni muhimu kujua historia ya mji wa Tanga. Wadau wanasema mji wa Tanga ndipo muziki wa dansi ulipoingilia nchini.

Wajerumani waliusambaratisha mji wa Tanga kwa mizinga kati mwaka 1888 na 1889. Na baada ya hapo
kuujenga upya kwa kufuata mpangilio uliosababisha Tanga kuwa na mitaa maarufu kama barabara ya kwanza ya pili na kuendelea.

Wajerumani walianzisha shule ya kwanza ya serikali Tanga 1892 na hapohapo wakanzisha bendi ya shule ya
kwanza, pamoja na kuwa Wajerumani hawakutawala muda mrefu baada ya hapo lakini Waingereza waliiendeleza sana bendi hiyo iliyokuwa ikipiga aina mbalimbali za muziki wa kigeni.

Dansi ilianza kwanza kama klabu ambapo watu walialikana kuja kucheza aina mbalimbali za muziki wa
kizungu mtindo maarufu unaojulikana kama 'ballroom dancing'.

Aina hizi za klabu zilianzia Mombasa na kuingia nchini kupitia Tanga na kisha kuletwa Dar es
Salaam na klabu iliyokuwa maarufu Tanga ili kujulikana kwa jina  Tanga Young Comrades Club, klabu nyingine ilianzishwa ikaitwa New Generation Club ambayo ilianzisha matawi miji mbalimbali.



Wadau  wa elimu waliupoteza muziki, kwa miaka ya nyuma katika kila shule kulikuwa kunafundishwa
somo la muziki lakini kwa kadri siku zinavyoenda somo hilo linaonekana kupotea.

Msanii nguli katika muziki wa dansi nchini John Kitime anasema kuwa takriba kila shule
ya sekondari miaka ya nyuma kulikuwa na kipindi cha muziki ambapo mwanafundi aliweza kujifunza
muziki.

"Tulukuwa na aina za muziki , tulitumia sana muziki wa Afro na wanafunzi katika kipindi hicho
cha miaka ya nyuma aliweza kuchagua aina ya sanaa.

"Wapo wanafunzi wengine walipendelea kujifunza muziki wa asili tu , nao walikuwa na nafasi yao,
kwa kweli kila sanaa ilifundishwa katika kipindi cha muziki shuleni,"anasema Kitime.

"Tulikuwa tukikutana na shule zingine katika masuala ya kupiga muziki ali iliyochochea mafanikio ya
wanamuziki wa dansi kupatikana nchini tofauti na sasa."

Kitime ambaye ni mdau katika medani ya muziki nchini anasema kuwa kutokana na mambo
yanavyokwenda kwa hivi sasa katika taswira ya sasa katika muziki wa sasa ambao ni Bongoflava.

Kitime anapasua jambo kwa kusema kuwa hali ya kutofundishwa masomo ya muziki kama yaliyokuwepo
awali ndio haswa mpasuko katika muziki.

"Bendi nyingi za dansi zilizowai kuwika wanamuziki wengi walianzia kuwika na kuonekana vipaji vyao
wakiwa bado shuleni sehemu waliyo pata kufundishwa masomo ya muziki.

"Kwa sasa Tanzania haijulikani inafanya muziki wa aina gani kwani  hatuna tena asili ya muziki wa

Tanzania kama ilivyo wai kuwepo,   wanamuziki wengi walipata kutia heshima katika anga za muziki miaka ya nyuma.

Kuhusu yeye kushauri vijana wa muziki wa Bongoflava anasema awezi kushauri kitu chochote katika muziki
huo kwa sababu yeye ajapata kuujua maka sasa aufahamu.

"Siwezi nikashauri kituambacho mimi sikijui , mie siujui muziki huo na sijawai kufanya muziki
wa aina hiyo , sasa siwezi kushauri chochote, mtu anashauri kituanacho kifahamu,"anasema Kitime.

Kitime anasema kuhusu kelele za wasanii kuibiwa kazi zao wasanii nyota huyo mkongwe katika anga za
muziki wa dansi ana tiririka kwa kusema kuwa.

"Wadau wa muziki wanakuwa wanailaumu serikali , kuwa wanaibiwa kazi zao za muziki lakini wao
wanawajua wezi wao , kimusingi anatakiwa alaumiwe anayemjua mwizi .


"Na si serikali kwani vyombo vya sheria vipo mtu anatakiwa akamate mwizi na kumpeleka
katika vyombo husika na kitendo cha  kulalamika tu mdomoni na kusema serikali haiwajali, na wakati wao
wanamjua mwizi wao aitoshi kumkataza mwizi asiibe."

Kitime anapasua tena jibu kwa kusema kuwa yeye ametoka katika familia ya muziki kwani mama na baba
yake ni wazazi ambao waliopata kufahamika katika tasnia ya muziki hivyo hali hiyo ilimfanya yeye
kuchochea nyota yake kunga'ra katika tasnia ya muziki wake.

Pia John Kitime ni mtu ambaye hachoki kuhifadhi na kusambaza historia ya muziki nchini Tanzania kuanzia
ule tuliouita 'Muziki wa Dansi' .

Kitime anafanya hivyo kwa kutambua kwamba endapo juhudi binafsi hazitofanywa,basi kizazi cha Tanzania
cha miaka kumi ijayo,hakitojua wapi tulitoka katika medani za muziki.

Wataanzia tulipo na pengine kuishia tulipo.Wadau kadhaa wameisha wai  kumuomba Kitime asisahau
kuandika kitabu ili kuhifadhi vizuri zaidi historia  muhimu.Kwani kitime hadi sasa ni mdau wa ulimwengu
wa sasa anaye elimisha jamii kupitia mitandao ya kijamii anamiliki Blog tano za kijamii.Source Gazeti la  Majira.

Comments

Popular posts from this blog

MBINU ZA KUMFIKISHA MWANAMKE MWENYE MAKALIO MAKUBWA KILELENI KWA HARAKA

Kwa kawaida wanawake wanafikia kilele (mwisho wa utamu wa ngono) kati ya dakika ishirini na saa moja, yaani kwa kifupi inawachukua muda mrefu sana hali inayopelekea mpenzi mvivu kuchoka na ufanyaji wake utakuwa wa “ovyo” hali itakayo kufanya wewe kuishiwa na hamu ya kuendelea. Pamoja na kuchelewa huko ambako kunatokana na utofauti wetu kati ya mwanaume na mwanamke lakini nakumbuka hapo nyuma nilikutana na wanawake 2 waliokuwa ndani ya ndoa na wamezaa lakini hawajawahi kabisa kujua utamu wa tendo hilo alimaharufu kama “kufanya mapenzi”. Natambua kuwa ni ngumu au niseme si wanawake wote ambao wamejaaliwa kimaumbile kwamba wanafanikiwa kufika kileleni zaidi ya mara mbili kila wanapofanya mapenzi/ngono (kumbuka ni kati ya dakika 15 na saa moja hivyo Jibaba hapa awe na uwezo wa kujizuia kwa zaidi ya dk 45) na ikiwa jamaa ni “mzamiaji” basi unaweza ukaondoka na goli 3 ktk mzunguuko mmoja. Lakini kwa nini basi baadhi yao tu ndio wafike kileleni na wengine was...

Mushikiwabo to UN: Enhance civilian protection

By Eugene Kwibuka Rwanda’s Minister of Foreign Affairs and Cooperation has urged the United Nations Security Council (UNSC) to invest more energy in the prevention of conflicts for better protection of civilians living in conflict-torn areas. Rwanda’s Foreign minister, Louise Mushikiwabo Louise Mushikiwabo made the call during an open debate on the protection of civilians in armed conflict which the UNSC held in New York on Tuesday. “Rwanda’s core message today is that enhancing the protection of civilians in armed conflict requires action before a conflict starts. The proliferation of non-state armed groups makes civilian protection both more urgent, and harder to achieve,” she said. For better protection of civilians in armed-conflict areas, the minister emphasised the need to increase investments in professionalising the military and police forces through adequate training. “Only when the leadership of armed forces shares the international...

Saudi King urges U.N. action against religious insults

Saudi King Abdullah urged the United Nations to produce a resolution condemning insults on monotheistic religions after the anti-Islam film in the U.S. that sparked deadly protests in many Muslim countries last month. (AFP) By AFP, MINA/SAUDI ARABIA Saudi King Abdullah on Saturday demanded a U.N. resolution condemning insults on monotheistic religions after a low-budget film produced in the U.S. sparked deadly protests last month. “I demand a U.N. resolution that condemns any country or group that insults religions and prophets,” he said during a meeting at his palace with religious figures and heads of hajj delegations in the Mina valley where pilgrims were performing final rituals of hajj. “It is our duty and that of every Muslim to protect Islam and defend the prophets.” A low-budget film produced in the U.S., Innocence of Muslims, triggered a wave of deadly anti-American violence last month across the Muslim world targeting US symbols ranging ...