Pichani
juu na chini mashabiki wa Bendi inayoshika kasi mujini Skylight
wakijimwaga na masebene yaliyokuwa yakiporomoshwa na Sony Masamba pamoja
na Joniko Flower.
Joniko Flower akitoa buradani huku akisindikizwa na Aneth Kushaba AK47 pamoja na Mary Lukas.
Haki Ngowi (katikati) akishow some love na Fans wa Skylight Band Julio (kushoto) na Gideon (kulia).
Hayo
yote ni mapenzi na Skylight Band….. Mdau akiwa ametweta jasho baada ya
kusakata Sebene vilivyo akiona ashow love na dada zake.
Couples waliobamba kwenye Show ya Skylight Band wakishow love mbele ya Camera yetu…Karibuni tena.
Salma
Yusuf akiwapa raha mashabiki wa Skylight Band na mambo ya pwani
(mduara) huku akipewa Sapoti na Mary Lukas sambamba na Sam Machozi.
Kijana David akianza kuonyesha woga wa kuzungushiwa nyonga huku akiwa amekaa.
Hapo sasa Kijana David akiwa ameelemewa: Warembo wa jijini Dar wakimpagawisha kijana na kumtoa jasho la pua.
Mwanadada
akiwatoa jasho wanaume wawili wakati wa mduara shurti kuzungusha
nyonga, haswa ukiwa nayo na dada yetu hapo amejaaliwa ndio raha ya
kupitia unyago hiyo.
Hapo sasa twende kazi……..
Aneth
Kushaba AK47 akishow love na Ceaser wa Clouds Tv pamoja na Dj Choka
ambao ilikuwa mara yao ya kwanza kushuhudia Live Performance ya Skylight
Band kwenye kiota cha Thai Village.
Bongo
Flava nao ni moja wa mashabiki wa Skylight Band….Hemedy a.k.a PHD na
Gelly wa Ryhmes walikuwepo kushow love na Skylight Band.
Dada Wendo all the way from Ughaibuni akishow love na mdau.
Joniko Flowe wa Skylight Band na fans wake.
Joniko Flower, Hemedy pamoja na Gelly wa Rhymes wakishow some love.Chanzo:moeblog
Comments