Chadema yawanadi Wagombea Uongozi Serikali za Mitaa wa UKAWA viwanja Kata ya Vijibweni Kigamboni jijini Dar es Salaam.
Umati wa watu wakimsikiliza Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe wakati
wa mkutano wa kuwanadi wagombea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa kupitia
UKAWA katika Kata ya Vijibweni Kigamboni jijini Dar es Salaam.
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe
akihutubia katika mkutano wa Kampeni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa
uliofanyika katika viwanja Kata ya Vijibweni Kigamboni jijini Dar es
Salaam.
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe akiwanadi wagombea.Picha na Francis Dande
Comments