Skip to main content

IDRISS SULTAN AIBUKA KIDEDEA SHINDANO LA BIGBROTHER....



1_7ebc0.jpg
IMG-20141207-WA0091_f9182.jpg
Idriss Sultan Mtanzania aliyetikisa Bigbrother leo ameibuka mshindi wa shindano hilo na kuwabwaga washiriki kutoka mataifa mbalimbali yaliyoshiriki katika shindano hilo akiibuka na kitita cha shilingi milioni 500 za Kitanzania katika shindano hilo lililokuwa likiendelea kwa miezi mitatu nchini Afrika Kusini Idriss ni Mtanzania wa tatu kushinda shindano hilo akitanguliwa na Mwisho Mwampamba na Richard wote wakiwakilisha vizuri taifa la Tanzania katika shindano hilo.CHANZO:FULL SHANGWE

Comments