Msimu wa usajili unakaribia kufunguliwa mwezi wa kwanza huko Ulaya
klabu nyingi za nchi hizo ziko kwenye jitihada za kutaka kuboresha
vikosi vyao.
Klabu ya Manchester City imeanza mchakato wa kutaka kumchukua
mchezaji kutoka kwenye timu ya Juventus Paul Pogba ili achukue nafasi ya
Yaya Toure anayetarajiwa kuondoka kwenye msimu ujao wa usajili.
Paul Pogba alikuwa mchezaji wa klabu ya Manchester United kabla ya kusajiliwa huko Italia kwenye klabu ya Juventus.
Comments