Vikosi vya wanajeshi kutoka Nigeria
Mapigano hayo yalichukua muda mwingi ambapo magaidi hao walianza
kukimbia hovyo hovyo mjini Ashaka na kwenye mapigano hayo jeshi la
Nigeria liliweza kupoteza askari wake 10 huku magaidi wa Boko Haramu
wakipoteza maisha 70 baadhi ya magaidi waliweza kurandaranda mjini na
wengine wakiukimbia mji kuelekea machimboni.
Comments