Skip to main content

BOA yakabidhi Sh.Milioni 10 Mshindi wa Daka Mkwanja



 MSHINDI wa Kampeni ya Daka Mkwanja iliyokuwa ikiendeshwa na Benki ya Afrika nchini(BOA ) Bw.Reuben Kinamhala mkazi wa Mwandege wilayani Mkuranga mkoani Pwani,amekabidhiwa  Sh. Milioni 10.

 Makabidhiano hayo yamefanyika leoJijini Dar es Salaam ambapo  Meneja wa Masoko na Utafiti wa benki hiyo, Muganyizi Bisheko amesema kampeni hiyo ilianza mwishoni wa mwezi Novemba mwaka jana na kumalizika Februari 26 mwaka huu huku akisisitiza ililenga kusherehekea miaka 10 ya BOA tangu ianzishwe hapa nchini. 



.Pichani ni Mshindi wa Kampeni ya Daka Mkwanja, Bw. Reuben Kinamhala wa pili kutoka kushoto akikabidhiwa Sh milioni 10 na Meneja Masoko na Utafiti wa Benki ya BOA, Muganyizi Bisheko leo mchana Makao Makuu ya Benki hiyo Mtaa wa Ohio jijini Dar es Salaam



Kushoto Meneja Masoko na Utafiti wa Benki hiyo akimkabidhi mshindi kitita cha Sh.Milioni 10 mshindi wa kampeni  ya Daka Mkwanja.


"Mzee wa Kanisa la Fellowship Pentecostal Reuben ambaye ni  Mteja wa Tawi la Mtoni wilayani Temeke
 amejishindia Sh. milioni 10 za Daka Mkwanja na kuwa hali hiyo ni moja wapo ya fursa  iliyojitokeza kwake kwa kuwa mteja wetu kuanzia mwaka 2016,” amesema Muganyizi.

 Muganyizi alibainisha kuwa kampeni hiyo ililenga kuwaongezea wateja ufahamu na kutambua umuhimu wa kuhifadhi fedha zao benki na kwamba mteja alitakiwa kuweka kuanzia Sh milioni moja kipindi chote cha kampeni. 

BOA Bank imefafanua kuwa hivi karibuni   itazindua kampeni nyingine itakayowawezesha wateja zaidi ya mmoja kujishindia fedha ,  ikitarajiwa kuanza Machi 7 hadi mwishoni mwa mwezi Juni mwaka huu.

Kwa upande wake, Reubeni ameishukuru benki hiyo na kubainisha fedha hizo atatzitumia katika majukumumu ya kifamilia ikiwemo kusomesha watoto shule na kukua kiuchumi  pamoja na kumsiadia mke wake katika shughuli zake za ujasiriamali.

Kwa upande wake  Mkuu wa Kitengo cha Mauzo cha benki hiyo, Linda Mario amewaomba watanzania kujenga utamaduni wa kufungua akaunti kwa ajili ya kuhifadhi fedha zao na usalama.

Amesema Bwana Reuben aliweka fedha kama kampeni ilivyoagiza huku akibainisha hakutegemea kama angeibuka na mshindi.

Comments

Popular posts from this blog

MBINU ZA KUMFIKISHA MWANAMKE MWENYE MAKALIO MAKUBWA KILELENI KWA HARAKA

Kwa kawaida wanawake wanafikia kilele (mwisho wa utamu wa ngono) kati ya dakika ishirini na saa moja, yaani kwa kifupi inawachukua muda mrefu sana hali inayopelekea mpenzi mvivu kuchoka na ufanyaji wake utakuwa wa “ovyo” hali itakayo kufanya wewe kuishiwa na hamu ya kuendelea. Pamoja na kuchelewa huko ambako kunatokana na utofauti wetu kati ya mwanaume na mwanamke lakini nakumbuka hapo nyuma nilikutana na wanawake 2 waliokuwa ndani ya ndoa na wamezaa lakini hawajawahi kabisa kujua utamu wa tendo hilo alimaharufu kama “kufanya mapenzi”. Natambua kuwa ni ngumu au niseme si wanawake wote ambao wamejaaliwa kimaumbile kwamba wanafanikiwa kufika kileleni zaidi ya mara mbili kila wanapofanya mapenzi/ngono (kumbuka ni kati ya dakika 15 na saa moja hivyo Jibaba hapa awe na uwezo wa kujizuia kwa zaidi ya dk 45) na ikiwa jamaa ni “mzamiaji” basi unaweza ukaondoka na goli 3 ktk mzunguuko mmoja. Lakini kwa nini basi baadhi yao tu ndio wafike kileleni na wengine was...

RAIS WA ZANZIBAR DKT. SHEIN AFANYA MAHOJIANO NA MAMLAKA YA VITAMBULISHO VYA TAIFA

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Ali Moh amed Shein,alipokuwa akifanya mahojiano na Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa kupitia ZBC TV na kutoa wito kwa Watanzania hasa wa Zanzibar kushiriki kikamilifu katika zoezi la uandikishaji vitambulisho hivyo,ambapo zoezi hilo  linatarajia kuwanza Oktoba 15 mwaka. Mazungumzo hayo yalifanyika Ikulu mjini Zanzibar leo,(kulia) Mtangazji wa ZBC TV Nasra Nassor. Picha na Ramadhan Othman,Ikulu

Uganda Police issue fresh terror alert

  By Chris Kiwawulo, The Police have issued a fresh terror alert against a possible attack on Uganda by four terrorists from Kazakhstan. Police spokesperson Judith Nabakooba “We have received a security notification in form of an orange notice of four terrorists originating from Kazakhstan who are planning to travel to foreign countries in order to commit attacks and participate in hostile acts,” Police spokesperson Judith Nabakooba said in a statement on Monday. Nabakooba named the four active members of radical organizations as; Nassiruauly Kairat, Umurzakov Marat Eskendirovich, Kovtun Denis Valerevich and Mazhibayen Alimzhan Akhlazhanovich. By press time, a search on the international web has not yielded anything on the named persons.Last evening, police said that in collaboration with other security agencies vigilance has been stepped up to avert the terrorists’ evil plans. Police have in the past issu...