Cheki Mwansasu anavyo jumuika kwenye anga za bata hivi sasa akiwa na mwonekano huo wa mwisho kutoka kulia.
Pichani kulia ni John Mwansasu, ambaye alikuwa beki wa Yanga na timu ya taifa ya Tanzania,Taifa Stars.Lakini pia nyota huyo katika kipindi hicho cha miaka ya nyuma , ngome ya Yanga iliyokuwa ikiongozwa na beki huyo ilikaa vyema na kuzuia hatari zote zilizokuwa zikielekezwa langoni mwao.
Anasema hali ya mbaya ya uongozi wa FAT wakati huo ndio iliyomfanya kuachana na soka .
kweli huyo ni mmoja wa mabeki tishio nyakati hizo.
Comments