Skip to main content

Msemaji Mkuu wa Serikali Dkt. Hassan Abbas:Baada ya kuanza kuleta ndege nchini kuna watu roho ziliwauma wakati ni Tanzania ni nchi ambayo ilikuwa inalalamika hakuna shirika la ndege

Serikali kupitia Mkurugenzi Mkuu, Idara ya Habari – Maelezo na Msemaji Mkuu wa Serikali, Dkt. Hassan Abbas imesema baada ya kuanza kuleta ndege nchini kuna watu roho ziliwauma wakati ni Tanzania ni nchi ambayo ilikuwa inalalamika hakuna shirika la ndege na halina ndege zake.
Dkt. Abbas ameyasema hayo leo, wakati akijibu swali la mwandishi wa habari aliyehoji kushikiliwa kwa ndege moja ya Tanzania nchini Canada ambapo ameeleza kuwa kuna wafitini na wazandiki wakioona nchi inaendelea wanaumia na inshallah watashindwa .
“Ni kweli kwamba ndege yetu watu walichomeka huko umbea na unafki watu wakaenda wakajenga hoja wakafikiri tutalipa kwa kubabaika au kutetemeka hapana sisi tuko makini, kwahiyo mzee ndege zetu zote mwezi wa saba zitakuwa Tanzania na usiseme ya Canada kwamba ni moja ndege zetu zote hii zote zinatengenezwa na kampuni ya Bomberdier ya Canada tuendelee kupeana updates kwamba ikifika July zimefika ngapi ambayo haijafika tutasema ile ndege tulishasema wafitini wanaodhani Tanzania wao inauma sasa waendelee kuumia,“amesema Dkt. Abbas.
“Ndege zinakuja na zitafika nchi hii na baadhi yenu mtazipanda mtakao kwenda lakini hilo liko wazi kabisa kuna watu waliona nchi hii sasa imeanza kuwa imara, katika nchi ambayo tulikuwa tunalalamika hatuna shirika la ndege halina ndege zake tunaanza kuleta watu roho ikawauma tulishasema hilo liko wazi kabisa kuna wafitini na wazandiki wanaoona tuna move kutoka sehemu moja kwenda nyingine sasa inshallah watashindwa."

Comments

Popular posts from this blog

MBINU ZA KUMFIKISHA MWANAMKE MWENYE MAKALIO MAKUBWA KILELENI KWA HARAKA

Kwa kawaida wanawake wanafikia kilele (mwisho wa utamu wa ngono) kati ya dakika ishirini na saa moja, yaani kwa kifupi inawachukua muda mrefu sana hali inayopelekea mpenzi mvivu kuchoka na ufanyaji wake utakuwa wa “ovyo” hali itakayo kufanya wewe kuishiwa na hamu ya kuendelea. Pamoja na kuchelewa huko ambako kunatokana na utofauti wetu kati ya mwanaume na mwanamke lakini nakumbuka hapo nyuma nilikutana na wanawake 2 waliokuwa ndani ya ndoa na wamezaa lakini hawajawahi kabisa kujua utamu wa tendo hilo alimaharufu kama “kufanya mapenzi”. Natambua kuwa ni ngumu au niseme si wanawake wote ambao wamejaaliwa kimaumbile kwamba wanafanikiwa kufika kileleni zaidi ya mara mbili kila wanapofanya mapenzi/ngono (kumbuka ni kati ya dakika 15 na saa moja hivyo Jibaba hapa awe na uwezo wa kujizuia kwa zaidi ya dk 45) na ikiwa jamaa ni “mzamiaji” basi unaweza ukaondoka na goli 3 ktk mzunguuko mmoja. Lakini kwa nini basi baadhi yao tu ndio wafike kileleni na wengine was...

Uganda Police issue fresh terror alert

  By Chris Kiwawulo, The Police have issued a fresh terror alert against a possible attack on Uganda by four terrorists from Kazakhstan. Police spokesperson Judith Nabakooba “We have received a security notification in form of an orange notice of four terrorists originating from Kazakhstan who are planning to travel to foreign countries in order to commit attacks and participate in hostile acts,” Police spokesperson Judith Nabakooba said in a statement on Monday. Nabakooba named the four active members of radical organizations as; Nassiruauly Kairat, Umurzakov Marat Eskendirovich, Kovtun Denis Valerevich and Mazhibayen Alimzhan Akhlazhanovich. By press time, a search on the international web has not yielded anything on the named persons.Last evening, police said that in collaboration with other security agencies vigilance has been stepped up to avert the terrorists’ evil plans. Police have in the past issu...

Poland’s GROM special services mastermind found dead

Brigadier General Slawomir Petelicki, responsible for the formation of the GROM special services unit in the 1990s, was found dead at his apartment, Saturday, with bullet wounds to the head. Sławomir Petelicki, 1946-2012. Photo: Archive/PAP/Radek Pietruszka Police spokesman Maciej Karczynski informed that Petelicki’s body was found by his wife in the garage of his Warsaw apartment on Saturday. He was 65. Primary investigations point to suicide as the cause of death. It is expected that prosecutors will decide on an investigation into Petelicki’s death on Monday. After examining the scene of the incident, “the body of General [Petelicki] has been taken to a forensic laboratory, although a post-mortem will probably take place on Monday,” prosecutor Katarzyna Calow-Jaszewska from the Warsaw District Prosecution told the PAP news agency. “He was a tough man, a brilliant soldier and commander,” Colonel Krzysztof Przepiorka, head of the ...