Skip to main content

Panamax kuanza kuhudumiwa bandari ya Mtwara

Image result for bandari ya mtwara
Mwaka 2019 Meli kubwa aina ya Panamax amabazo ni za kisasa zitaanza kuhudumiwa katika Bandari ya Mtwara baada ya kukamilika kwa ujenzi wa gati namba mbili. Gati hilo linalojengwa kwaubia wa kampuni mbili za Kichina za China Railways Major Bridges Engineering Group Co. Ltd (CRMBEG) na China Railways Construction Engineering Group (CRCEG) chini ya usimamizi wa Kampuni ya Ujerumani ya Inros Lackner.linakadiriwa kugharimu Sh137 bilioni.
 Aidha Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Makame Mbarawa ameagiza kukamilika haraka kwa ujenzi wa mradi huo ili kuwezesha meli hizo kutia nanga bandarini hapo.
“Mradi una maana kubwa kwa upande wa Serikali na TPA (Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari), kwa ujumla na tunahitaji ukamilike kwa haraka ili kuongeza ufanisi wa Bandari ya Mtwara,” amesema.
Ujio wa meli hizo katika Bandari ya Mtwara umetajwa na Profesa Mbarawa amesema ni faraja kubwa kwa wana Mtwara, kwani zitachochea kukua kiuchumi kwa mkoa na kuongeza mapato ya Serikali.
Katika kuhakikisha mradi wa ujenzi wa gati hiyo unakamilika kwa wakati, Profesa Mbarawa ameitaka TPA kusimamia mradi huo ili ukamilike kwa wakati kama ulivyopangwa.
 Ameahidi kurudi tena Bandari ya Mtwara kukagua mradi huo ndani ya miezi mitatu, ili kuona maendeleo ya ujenzi na jinsi muda wa kukamilika kwa mradi huu unavyozingatiwa.
Naye kaimu mkurugenzi mkuu wa TPA, Karim Mattaka amesema kwamba ujenzi wa gati namba mbili umefikia asimilia 15.
“Kwa sasa mradi wa ujenzi wa gati namba mbili ya Bandari hii ya Mtwara umefikia asilimia 15, upo katika hatua ya mwisho mwisho ya usanifu wa gati lenyewe,” amesema Mattaka.
Mattaka amesema wao kama TPA wameyapokea maagizo ya waziri kwa ajili ya utekelezaji na watamsimamia mshauri na mkandarasi kwa karibu zaidi ili kuhakikisha mradi huo unakamilika kwa wakati.
Mkuu wa Bandari ya Mtwara, Nelson Mlali amesema mradi huu ni ukombozi kwa mikoa ya kusini na Tanzania kwa jumla.
Mlali amesema kukamilika kwa mradi huo kutaongeza uwezo wa Bandari ya Mtwara, kwa kuwa bandari hiyo ilishafikia asilimia 93 ya uwezo wake wa kuhudumia shehena.
Kuhusu ujio wa meli, mkuu huyo wa bandari amesema kwa kipindi cha miezi minane (Julai 2017 hadi Februari 2018) meli 61 zilihudumiwa. Kati ya hizo, 45 ni za kimataifa na 16 za mwambao.
Bandari ya Mtwara ni kati ya bandari tatu kubwa zilizopo katika ukanda wa Bahari ya Hindi, ina uwezo wa kuhudumia makasha 200,000 TEUs na shehena mchanganyiko za tani laki nne kwa mwaka.

Comments

Popular posts from this blog

MBINU ZA KUMFIKISHA MWANAMKE MWENYE MAKALIO MAKUBWA KILELENI KWA HARAKA

Kwa kawaida wanawake wanafikia kilele (mwisho wa utamu wa ngono) kati ya dakika ishirini na saa moja, yaani kwa kifupi inawachukua muda mrefu sana hali inayopelekea mpenzi mvivu kuchoka na ufanyaji wake utakuwa wa “ovyo” hali itakayo kufanya wewe kuishiwa na hamu ya kuendelea. Pamoja na kuchelewa huko ambako kunatokana na utofauti wetu kati ya mwanaume na mwanamke lakini nakumbuka hapo nyuma nilikutana na wanawake 2 waliokuwa ndani ya ndoa na wamezaa lakini hawajawahi kabisa kujua utamu wa tendo hilo alimaharufu kama “kufanya mapenzi”. Natambua kuwa ni ngumu au niseme si wanawake wote ambao wamejaaliwa kimaumbile kwamba wanafanikiwa kufika kileleni zaidi ya mara mbili kila wanapofanya mapenzi/ngono (kumbuka ni kati ya dakika 15 na saa moja hivyo Jibaba hapa awe na uwezo wa kujizuia kwa zaidi ya dk 45) na ikiwa jamaa ni “mzamiaji” basi unaweza ukaondoka na goli 3 ktk mzunguuko mmoja. Lakini kwa nini basi baadhi yao tu ndio wafike kileleni na wengine was...

Uganda Police issue fresh terror alert

  By Chris Kiwawulo, The Police have issued a fresh terror alert against a possible attack on Uganda by four terrorists from Kazakhstan. Police spokesperson Judith Nabakooba “We have received a security notification in form of an orange notice of four terrorists originating from Kazakhstan who are planning to travel to foreign countries in order to commit attacks and participate in hostile acts,” Police spokesperson Judith Nabakooba said in a statement on Monday. Nabakooba named the four active members of radical organizations as; Nassiruauly Kairat, Umurzakov Marat Eskendirovich, Kovtun Denis Valerevich and Mazhibayen Alimzhan Akhlazhanovich. By press time, a search on the international web has not yielded anything on the named persons.Last evening, police said that in collaboration with other security agencies vigilance has been stepped up to avert the terrorists’ evil plans. Police have in the past issu...

Mushikiwabo to UN: Enhance civilian protection

By Eugene Kwibuka Rwanda’s Minister of Foreign Affairs and Cooperation has urged the United Nations Security Council (UNSC) to invest more energy in the prevention of conflicts for better protection of civilians living in conflict-torn areas. Rwanda’s Foreign minister, Louise Mushikiwabo Louise Mushikiwabo made the call during an open debate on the protection of civilians in armed conflict which the UNSC held in New York on Tuesday. “Rwanda’s core message today is that enhancing the protection of civilians in armed conflict requires action before a conflict starts. The proliferation of non-state armed groups makes civilian protection both more urgent, and harder to achieve,” she said. For better protection of civilians in armed-conflict areas, the minister emphasised the need to increase investments in professionalising the military and police forces through adequate training. “Only when the leadership of armed forces shares the international...