Skip to main content

FAMOUS Funiture :Watanzania tumieni bidhaa bora za la-Z-Boy

FAMOUS Funiture waendeleza  malengo yao makubwa waliyonayo katika kukua
kwa uchumi wa viwanda ambapo wamewataka watanzania kutumia bidhaa
bora za la-Z-Boy ambazo zimeboreshwa zaidi kwa muonekanao wa nyumbani.

Hayo yalisemwa na  Nabeel Dharse ambaye ni  Meneja wa duka hilo  wakati wa  oktoba 18
mwaka jana wakati wa udhinduzi Mliman City jijini Dar es Salaam.


 Baadhi ya Sofa za la-Z-Boy kutoka Famous Furniture.
Famous Furniture Limited iliyosajiliwa na namba 135127 ilitambulisha
bidhaa bora za nyumbani Ili kukidhi soko linalokuwa nchini hapa ambapo
hadi sasa limeendelea  kuwauzia watanzania bidhaa zao bora katika duka lao
lililopo Mliman City Dar es Salaam .

"Binadamuhutumia muda mwingi wakiwa wamekaa chini,hii ndio sababu ya
wabunifu,watafiti na wataalamu wa afya kuumiza vichwa kutoa bidhaa
zitakazoleta starehe,"alisema Nabeel.
 Baadhi ya viti vya La-Z-Boy kutoka Famous Furniture.
 Mmoja wa wateja walioudhuria ufunguzi akijaribu kulala kwenye godoro la Sealy Posturepedic
 Baadhi ya viti vya La-Z-Boy kutoka Famous Furniture.
Mmoja wa wateja walioudhuria ufunguzi akijaribu kulala kwenye godoro
la Sealy Posturepedic.

Licha ya kuwepo kwa duka  hilo wanatarajia kufungu maduka mengine
 5 maeneo mengine nchini hapa hili kurahisisha upatikanaji wa bidhaa
hizo kwa watanzania.


Aidha kwa upande wake meneja wa Bravo Group Bw.Ryan Beattile ambao ni
wasambazaji wa La-Z-Boy kutoka Famous Furniture aliongeza kuwa starehe
 ya mkao sio katika muonekano tu bali ni kuupa starehe mwili sambamba na
 mfumo boraegemezi, hasa kama unakaa kwa muda mrefu.

Comments

Popular posts from this blog

MBINU ZA KUMFIKISHA MWANAMKE MWENYE MAKALIO MAKUBWA KILELENI KWA HARAKA

Kwa kawaida wanawake wanafikia kilele (mwisho wa utamu wa ngono) kati ya dakika ishirini na saa moja, yaani kwa kifupi inawachukua muda mrefu sana hali inayopelekea mpenzi mvivu kuchoka na ufanyaji wake utakuwa wa “ovyo” hali itakayo kufanya wewe kuishiwa na hamu ya kuendelea. Pamoja na kuchelewa huko ambako kunatokana na utofauti wetu kati ya mwanaume na mwanamke lakini nakumbuka hapo nyuma nilikutana na wanawake 2 waliokuwa ndani ya ndoa na wamezaa lakini hawajawahi kabisa kujua utamu wa tendo hilo alimaharufu kama “kufanya mapenzi”. Natambua kuwa ni ngumu au niseme si wanawake wote ambao wamejaaliwa kimaumbile kwamba wanafanikiwa kufika kileleni zaidi ya mara mbili kila wanapofanya mapenzi/ngono (kumbuka ni kati ya dakika 15 na saa moja hivyo Jibaba hapa awe na uwezo wa kujizuia kwa zaidi ya dk 45) na ikiwa jamaa ni “mzamiaji” basi unaweza ukaondoka na goli 3 ktk mzunguuko mmoja. Lakini kwa nini basi baadhi yao tu ndio wafike kileleni na wengine was...

Uganda Police issue fresh terror alert

  By Chris Kiwawulo, The Police have issued a fresh terror alert against a possible attack on Uganda by four terrorists from Kazakhstan. Police spokesperson Judith Nabakooba “We have received a security notification in form of an orange notice of four terrorists originating from Kazakhstan who are planning to travel to foreign countries in order to commit attacks and participate in hostile acts,” Police spokesperson Judith Nabakooba said in a statement on Monday. Nabakooba named the four active members of radical organizations as; Nassiruauly Kairat, Umurzakov Marat Eskendirovich, Kovtun Denis Valerevich and Mazhibayen Alimzhan Akhlazhanovich. By press time, a search on the international web has not yielded anything on the named persons.Last evening, police said that in collaboration with other security agencies vigilance has been stepped up to avert the terrorists’ evil plans. Police have in the past issu...

Mushikiwabo to UN: Enhance civilian protection

By Eugene Kwibuka Rwanda’s Minister of Foreign Affairs and Cooperation has urged the United Nations Security Council (UNSC) to invest more energy in the prevention of conflicts for better protection of civilians living in conflict-torn areas. Rwanda’s Foreign minister, Louise Mushikiwabo Louise Mushikiwabo made the call during an open debate on the protection of civilians in armed conflict which the UNSC held in New York on Tuesday. “Rwanda’s core message today is that enhancing the protection of civilians in armed conflict requires action before a conflict starts. The proliferation of non-state armed groups makes civilian protection both more urgent, and harder to achieve,” she said. For better protection of civilians in armed-conflict areas, the minister emphasised the need to increase investments in professionalising the military and police forces through adequate training. “Only when the leadership of armed forces shares the international...