Skip to main content

Okwi na Bocco..Sikia makocha Simba wanavyowasema


  Kuelekea  mchezo dhidi ya Al Masry uenda mashabiki Simba viroho vikawa vinawadunda kutokana na taarifa kwamba nyota wao, John Bocco na Emmanuel Okwi huenda wakakosekana katika mechi  hiyo itakayopigwa Jumatano  lakini makocha wa timu wana jambo wamefanya.

Benchi  la ufundi chini ya Mfaransa, Pierre Lechantre na Msaidizi wake Mrundi Masoud Djuma limewapa kazi maalumu wachezaji hao ili kuhakikisha msimu huu
katika Ligi Kuu Bara wanatimiza lengo lao la kubeba ndoo.
Okwi anayeongoza kwa mabao katika ligi hiyo akiwa na 16, huku Bocco akiwa nafasi ya tatu na mabao yake 10 wamepewa kazi maalumu ya kuhakikisha mwisho wa msimu huu mmojawao lazima awe mfungaji bora.
Djuma alisema huwa ana utamaduni wa kukaa kikao cha kati yake na Lechantre mara baada ya mechi kama walimu kujadili makosa na kasoro zilizojitokeza ili kuzirekebisha.
“Katika kikao chetu kimoja tulikubaliana na Lechantre kuwapa kazi Okwi na Bocco kuwa mmoja wao anatakiwa kuwa mfungaji bora msimu, kwani wakiweza kufanya hivyo watakuwa wanailainisha timu kupata matokeo mazuri katika kila mechi.”
“Hata mfumo tunaoutumia kwa katika timu yetu unawarahisishia kupata nafasi nyingi za kufunga Okwi na Bocco na tunashukuru kwa kutuelewana katika hilo kwani wamefikia nusu ya ambayo tunataka kutoka kwao,” alisema Djuma.
“Mfumo wetu pia unaruhusu kwa wachezaji wengine kufunga lakini Okwi na Bocco, hatujawawekea idadi ya magoli ya kufunga lakini tunataka wafunge zaidi katika ligi na kimataifa,” aliongezea.

Comments

Popular posts from this blog

MBINU ZA KUMFIKISHA MWANAMKE MWENYE MAKALIO MAKUBWA KILELENI KWA HARAKA

Kwa kawaida wanawake wanafikia kilele (mwisho wa utamu wa ngono) kati ya dakika ishirini na saa moja, yaani kwa kifupi inawachukua muda mrefu sana hali inayopelekea mpenzi mvivu kuchoka na ufanyaji wake utakuwa wa “ovyo” hali itakayo kufanya wewe kuishiwa na hamu ya kuendelea. Pamoja na kuchelewa huko ambako kunatokana na utofauti wetu kati ya mwanaume na mwanamke lakini nakumbuka hapo nyuma nilikutana na wanawake 2 waliokuwa ndani ya ndoa na wamezaa lakini hawajawahi kabisa kujua utamu wa tendo hilo alimaharufu kama “kufanya mapenzi”. Natambua kuwa ni ngumu au niseme si wanawake wote ambao wamejaaliwa kimaumbile kwamba wanafanikiwa kufika kileleni zaidi ya mara mbili kila wanapofanya mapenzi/ngono (kumbuka ni kati ya dakika 15 na saa moja hivyo Jibaba hapa awe na uwezo wa kujizuia kwa zaidi ya dk 45) na ikiwa jamaa ni “mzamiaji” basi unaweza ukaondoka na goli 3 ktk mzunguuko mmoja. Lakini kwa nini basi baadhi yao tu ndio wafike kileleni na wengine was...

RAIS WA ZANZIBAR DKT. SHEIN AFANYA MAHOJIANO NA MAMLAKA YA VITAMBULISHO VYA TAIFA

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Ali Moh amed Shein,alipokuwa akifanya mahojiano na Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa kupitia ZBC TV na kutoa wito kwa Watanzania hasa wa Zanzibar kushiriki kikamilifu katika zoezi la uandikishaji vitambulisho hivyo,ambapo zoezi hilo  linatarajia kuwanza Oktoba 15 mwaka. Mazungumzo hayo yalifanyika Ikulu mjini Zanzibar leo,(kulia) Mtangazji wa ZBC TV Nasra Nassor. Picha na Ramadhan Othman,Ikulu

Uganda Police issue fresh terror alert

  By Chris Kiwawulo, The Police have issued a fresh terror alert against a possible attack on Uganda by four terrorists from Kazakhstan. Police spokesperson Judith Nabakooba “We have received a security notification in form of an orange notice of four terrorists originating from Kazakhstan who are planning to travel to foreign countries in order to commit attacks and participate in hostile acts,” Police spokesperson Judith Nabakooba said in a statement on Monday. Nabakooba named the four active members of radical organizations as; Nassiruauly Kairat, Umurzakov Marat Eskendirovich, Kovtun Denis Valerevich and Mazhibayen Alimzhan Akhlazhanovich. By press time, a search on the international web has not yielded anything on the named persons.Last evening, police said that in collaboration with other security agencies vigilance has been stepped up to avert the terrorists’ evil plans. Police have in the past issu...