Skip to main content

Wanahabari wametakiwa kuzingatia kanuni na maadili ya taaluma yao





 Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Tumaini Danford Kitwana akizungumza na Wanahabari jijini Dar es Salaam kuhusu umuhimu wa kuzingatia maadili ya taaluma ya uwandishi wa habari ili kuepuka kuandika habari ambayo sio rafiki kwa jamii, Kitwana ni miongoni mwa wakufunzi katika Semina iliyoandaliwa na Tume ya Taifa UNESCO  kwa ajili ya kuwajengea uwezo waandishi wa habari.
Programu Afisa wa habari na Mawasiliano Tume ya Taifa UNESCO Lusajo Mwaiteleke akizungumza na waandishi wa habari  kuhusu umuhimu semina hiyo, ambapo  ameeleza kuwa wameamua kunadaa semina ya madilii kwa wanahabari kutokana changamoto zilizopo katika  tasnia ya habari ikiwemo kuripoti habari ambayo inakwenda kinyume na maadili.


Waandishi wa habari wakimsikiliza kwa makini Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Tumaini Danford Kitwana wakati wakiwa katika Semina iliyoandaliwa na Tume ya Elimu , Sayansi na Utamaduni wa Umoja wa Mataifa (UNESCO) jijini Dar es Salaam



Waandishi wa habari nchini wametakiwa kizingatia maadili ya taaluma zao ili kuandika habari zenye ukweli pamoja na kuwa na mslai mapana ya jamii na taifa jambo ambalo litasaidia kuongeza uweledi katika tasnia ya habari.

Hayo yamebainishwa na Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Tumaini Danford Kitwana wakati akitoa semina kwa waandishi wa habari kuhusu maadili ya taaluma ya uwandishi wa habari ambayo imeonekana kwa baadhi wanahabari kutozingatia na kusababisha kupungua kwa uweledi katika taaluma hiyo. 

Kitwana amesema ni  vyema waandishi wa habari kuzingatia maadili ya taaluma ili kuepuka migogoro ambayo inaweza kujitokeza baada ya kuripo taarifa zisizokuwa na maadili. 

“Magazeti angalau wanajitaidi kutafuta usawa katika habari zao (balanc).. lakini tatizo lipo kwa kwenye radio na Tv, hivyo naomba tuzingatie kanuni na maadili ya uwandishi ili kuongeza kufanisi katika utendaji ” amesema Kitwana.

Amefafanua kuwa changamoto bado zipo katika tasnia ya uwandishi wa habari ikiwemo ukosefu wa mafunzo kwa waandishi, wahariri bora, ukosefu wa kipato cha kutosha kwa vyombo vya habari  ambapo kwa namna moja au nyengine inaludisha nyuma maendeleo.

Programu Afisa wa habari na Mawasiliano Tume ya Taifa UNESCO Lusajo Mwaiteleke , amesema kwa sasa kumekuwa na ukuaji mkubwa hasa katika upande wa mitandao na kusababisha kuongezeka kwa  changamoto katika tasnia ya bahari.


Amesema kuwa kumekuwepo  na utoaji wa taarifa mbalimbali ambazo nyengine  zinakwenda kinyume na maadili jambo ambalo UNESCO imeona ni  vyema  kutoa elimu ili kuongeza uweledi katika tasnia ya habari hapa nchini.


"Kupitia semina hii tunaamini waandishi wa habari wataripoti habari zao kwa kuzingatia maadili na kanuni na kuongeza uweledi pamoja na  ufanisi na utendaji bora" amesema Mwaiteleke.


Kwa upande wao waandishi wa habari waliohudhuria semina hiyo wamesema wanashukuru kuandaliwa kwa semina hiyo kwani wamejifunza mengi na kuomba semina kama hizo kutolewa kila mara ili kuboresha tasnia ya habari nchini.

Comments

Popular posts from this blog

MBINU ZA KUMFIKISHA MWANAMKE MWENYE MAKALIO MAKUBWA KILELENI KWA HARAKA

Kwa kawaida wanawake wanafikia kilele (mwisho wa utamu wa ngono) kati ya dakika ishirini na saa moja, yaani kwa kifupi inawachukua muda mrefu sana hali inayopelekea mpenzi mvivu kuchoka na ufanyaji wake utakuwa wa “ovyo” hali itakayo kufanya wewe kuishiwa na hamu ya kuendelea. Pamoja na kuchelewa huko ambako kunatokana na utofauti wetu kati ya mwanaume na mwanamke lakini nakumbuka hapo nyuma nilikutana na wanawake 2 waliokuwa ndani ya ndoa na wamezaa lakini hawajawahi kabisa kujua utamu wa tendo hilo alimaharufu kama “kufanya mapenzi”. Natambua kuwa ni ngumu au niseme si wanawake wote ambao wamejaaliwa kimaumbile kwamba wanafanikiwa kufika kileleni zaidi ya mara mbili kila wanapofanya mapenzi/ngono (kumbuka ni kati ya dakika 15 na saa moja hivyo Jibaba hapa awe na uwezo wa kujizuia kwa zaidi ya dk 45) na ikiwa jamaa ni “mzamiaji” basi unaweza ukaondoka na goli 3 ktk mzunguuko mmoja. Lakini kwa nini basi baadhi yao tu ndio wafike kileleni na wengine was...

Uganda Police issue fresh terror alert

  By Chris Kiwawulo, The Police have issued a fresh terror alert against a possible attack on Uganda by four terrorists from Kazakhstan. Police spokesperson Judith Nabakooba “We have received a security notification in form of an orange notice of four terrorists originating from Kazakhstan who are planning to travel to foreign countries in order to commit attacks and participate in hostile acts,” Police spokesperson Judith Nabakooba said in a statement on Monday. Nabakooba named the four active members of radical organizations as; Nassiruauly Kairat, Umurzakov Marat Eskendirovich, Kovtun Denis Valerevich and Mazhibayen Alimzhan Akhlazhanovich. By press time, a search on the international web has not yielded anything on the named persons.Last evening, police said that in collaboration with other security agencies vigilance has been stepped up to avert the terrorists’ evil plans. Police have in the past issu...

Poland’s GROM special services mastermind found dead

Brigadier General Slawomir Petelicki, responsible for the formation of the GROM special services unit in the 1990s, was found dead at his apartment, Saturday, with bullet wounds to the head. Sławomir Petelicki, 1946-2012. Photo: Archive/PAP/Radek Pietruszka Police spokesman Maciej Karczynski informed that Petelicki’s body was found by his wife in the garage of his Warsaw apartment on Saturday. He was 65. Primary investigations point to suicide as the cause of death. It is expected that prosecutors will decide on an investigation into Petelicki’s death on Monday. After examining the scene of the incident, “the body of General [Petelicki] has been taken to a forensic laboratory, although a post-mortem will probably take place on Monday,” prosecutor Katarzyna Calow-Jaszewska from the Warsaw District Prosecution told the PAP news agency. “He was a tough man, a brilliant soldier and commander,” Colonel Krzysztof Przepiorka, head of the ...