Jacqueline Wolper na Wema Sepetu wakitoka ulingoni mara baada ya
pambano lao lililofanyika jana kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam
kumalizika.
Mwamuzi John Chagu akiwatangaza Wema Sepetu na Jacqueline Wolper kuwa wametoka sare katika pambano lao lililofanyika jana kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.
Wema Sepetu akimkimbia Jacqueline Wolper wakati wa pambano lao lililofanyika jana Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.
Wema Sepetu na Jacqueline Wolper wakiwindana wakati wa pambano lao
Wema Sepetu na Jacqueline Wolper wakipiga picha ya pamoja mara baada ya pambano kati yao kumalizika.Inatoka kwa mdau.

Comments