Skip to main content

DEIDRE LORENZ ATEULIWA BALOZI WA MT. KILIMANJARO MARATHON JIJINI NEW YORK (NYC)


Ataitangaza Tanzania na vivutio vyake kwa wacheza sinema na walimbwende wengine wa Marekani.

Mcheza sinema maarufu na mlimbwende Deidre Lorenz kutoka katika jiji la New York nchini Marekani ameteuliwa kuwa balozi wa Mt. Kilimanjaro Marathon kwenye jiji hili la mapesa duniani la New York City (NYC).

Uteuzi huo ulifanywa kwa pamoja kati ya Rais wa Mt. Kilimanjaro Marathon 1991 Mtanzania Onesmo Ngowi na mwanzilishi wa mbio za Mt. Kilimanjaro Marathon Mmarekani Marie Frances hivi karibuni.

Uteuzi wa Lorenz ulizingatia uwezo wake wa kujichanganya katika makundi mbalimbali nchini Marekani hususan kundi la vijana matajiri. Hawa ndio wanaoweza kuwa watalii wenye uwezo wa kulipa pesa nyingi kwa huduma wanazopata watembeleapo vivutio mbalimbali vya kitalii nchini Tanzania.

Aidha, Lorenz anao uwezo wa kuunganisha wacheza sinema na walimbwene wengine na kuwashawishi kuja kutembelea vivutio mbalimbali hapa Tanzania.

Deidre Lorenz alizaliwa katika jiji la Oregon na alianza kijihushisha na uchezaji wa vipindi watoto vya televisheni kabla ya kuhamia kwenye jiji la New York ambako alijiingiza kucheza filamu.

DeidreLorenz ameshacheza sinema nyingi kati ayke zikiwa zifuatazo: Santorini Blue, The Great Fight, Perfect Strangers na kuwahi kupata tuzo za: Tuzo ya Produza mpayailiyotolewa na Downtown Boca FilmFestival 2011 na kukabidhiwa na Stella Artois, tuzo ya chaguo la wadau wa sinema iliyotolewa na The NYC Downtown, tuzo ya TorontoIndependent iliyotolewa na Film Festival 2010. Mbali ya tuzo hizo Lorenz amewahi kupata tuzo mbalimbali za Oscar kama muingizaji bora.

Akitumia kampuni yake ya Thira Films LLC, Lorenz amekuwa anauza sinema zake kwenye miatandao mbalimbali. Hivi karubuni aliingia mkataba na kampuni ya Google kuuza kazi zake kwenye mtandao huu mkubwa duniani.

Kuteuliwa kwa Lorenz kunaipa Tanzania nafasi ya kujitangaza zaidi kwa kutumia mcheza sinema huyu maarufu duniani na hivyo kuipa nafasi kubwa nchi hii kujulikana zaidi kwa wacheza sinema ambao hupenda kutembelea maeneo ya kitalii.

Imetumwa na:
Grace Soka
Afisa Uhusiano
Mt. Kilimanjaro Marathon 1991

Comments

Popular posts from this blog

MBINU ZA KUMFIKISHA MWANAMKE MWENYE MAKALIO MAKUBWA KILELENI KWA HARAKA

Kwa kawaida wanawake wanafikia kilele (mwisho wa utamu wa ngono) kati ya dakika ishirini na saa moja, yaani kwa kifupi inawachukua muda mrefu sana hali inayopelekea mpenzi mvivu kuchoka na ufanyaji wake utakuwa wa “ovyo” hali itakayo kufanya wewe kuishiwa na hamu ya kuendelea. Pamoja na kuchelewa huko ambako kunatokana na utofauti wetu kati ya mwanaume na mwanamke lakini nakumbuka hapo nyuma nilikutana na wanawake 2 waliokuwa ndani ya ndoa na wamezaa lakini hawajawahi kabisa kujua utamu wa tendo hilo alimaharufu kama “kufanya mapenzi”. Natambua kuwa ni ngumu au niseme si wanawake wote ambao wamejaaliwa kimaumbile kwamba wanafanikiwa kufika kileleni zaidi ya mara mbili kila wanapofanya mapenzi/ngono (kumbuka ni kati ya dakika 15 na saa moja hivyo Jibaba hapa awe na uwezo wa kujizuia kwa zaidi ya dk 45) na ikiwa jamaa ni “mzamiaji” basi unaweza ukaondoka na goli 3 ktk mzunguuko mmoja. Lakini kwa nini basi baadhi yao tu ndio wafike kileleni na wengine was...

Uganda Police issue fresh terror alert

  By Chris Kiwawulo, The Police have issued a fresh terror alert against a possible attack on Uganda by four terrorists from Kazakhstan. Police spokesperson Judith Nabakooba “We have received a security notification in form of an orange notice of four terrorists originating from Kazakhstan who are planning to travel to foreign countries in order to commit attacks and participate in hostile acts,” Police spokesperson Judith Nabakooba said in a statement on Monday. Nabakooba named the four active members of radical organizations as; Nassiruauly Kairat, Umurzakov Marat Eskendirovich, Kovtun Denis Valerevich and Mazhibayen Alimzhan Akhlazhanovich. By press time, a search on the international web has not yielded anything on the named persons.Last evening, police said that in collaboration with other security agencies vigilance has been stepped up to avert the terrorists’ evil plans. Police have in the past issu...

Poland’s GROM special services mastermind found dead

Brigadier General Slawomir Petelicki, responsible for the formation of the GROM special services unit in the 1990s, was found dead at his apartment, Saturday, with bullet wounds to the head. Sławomir Petelicki, 1946-2012. Photo: Archive/PAP/Radek Pietruszka Police spokesman Maciej Karczynski informed that Petelicki’s body was found by his wife in the garage of his Warsaw apartment on Saturday. He was 65. Primary investigations point to suicide as the cause of death. It is expected that prosecutors will decide on an investigation into Petelicki’s death on Monday. After examining the scene of the incident, “the body of General [Petelicki] has been taken to a forensic laboratory, although a post-mortem will probably take place on Monday,” prosecutor Katarzyna Calow-Jaszewska from the Warsaw District Prosecution told the PAP news agency. “He was a tough man, a brilliant soldier and commander,” Colonel Krzysztof Przepiorka, head of the ...