Msanii
wa filamu nchini Vicent Kigosi 'Ray' akikabidhi sehemu ya msaada kwa
Mlezi wa kituo cha Maunga Centre kilichopo Kinondoni,Zainabu Bakari
ikiwa ni sehemu ya uzinduzi wa filamu yake mpya ya SOBING SOUND ambapo
alishirikiana na Kampuni ya Steps Entatainment ya jijini Dar es
salaam.vyakula mbalimbali vimetolewa vyenye samani ya shilingi milioni
moja na nusu katika kituo hicho.kushoto ni Meneja Masoko wa Kampuni ya
Steps, Ignatus Kambarage.
Msanii wa Filamu Nchini Visent Kigosi 'Ray' (katikati) na Meneja Masoko wa Kampuni ya Steps.Ignatus Kambarage wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kugawa msaada wa vyakula mbalimbali katika kituo cha kulelea watoto yatima cha Maunga Centre kilichopo Kinondoni,Jijini Dar es Salaam.

Comments