Skip to main content

TPBO YAMWADHIBU CHEKA


NDG WAANDISHI WA HABARI ZA MICHEZO
AWALI YA YOTE NINAPENDA KUTOWA SHUKRANI ZANGU ZA DHATI KWENU KWA JINSI AMBAVYO VYOMBO VYENU VYA HABARI VIMEKUWA VIKITUSAIDIA SANA KATIKA KUUKUZA MCHEZO HUU WA NGUMI ZA KULIPWA KWA KUUANDIKA VIZURI SANA NA HATIMAYE KURUDISHA IMANI KUBWA KWA WAPENZI WAKE AMBAO TAYARI WALIKUWA WAMEUKIMBIA KUTOKAN NA SABABU AMBAZO MNAZIFAHAMU FIKA NA HATA WADHAMINI KUKAA PEMBENI NA KUUTELEKEZA KABISA.
LKN MIAKA ANGALAU MINNE BAADA YA KUPOTEZA MWELEKEO HATIMAYE MASHABIKI WAMEUPOKEA TENA KWA MIKONO MIWILI ,
HIVI KARIBUNI TAYARI PEPO MBAYA AMEANZA KUJITOKEZA KWA LENGO LA KUUVURUGA TENA MCHEZO HUU AMBAO NI NGUVU KAZI YA VIJANA KTK KUJIPATIA PESA ZA KUJIKIMU KIMAISHA KUPITIA NGUMI ZA KULIPWA.
HIVI KARIBUNI VYOMBO VYENU VYA HABARI VIMEKUWA VIKIRIPOT TAARIFA ZA MVUTANO MKUBWA ULIOJITOKEZA KATI YA BONDIA FRNCIS CHEKA NA WAANDAAJI WA TAMASHA LA USIKU WA MATUMAINI KUHUSU PAMBANO LAKE NA JAPHET KASEBA HUKU CHEKA AKIKANUSHA KWAMBA HAKUSAINI MKATABA WA KUCHEZA NA JAPHET KASEBA NA BADALA YAKE ALISAINISHWA KUPIGANA NA BONDIA KUTOKA MISRI.
HAPO TAREHE 07-07-2912 KTK UWANJA WA TAIFA KIMSINGI TU CHEKA ANAJARIBU KUWAFANYA VIONGOZI WA KAMISHENI YA NGUMI ZA KULIPWA -TPBC HAWAJUWI WAJIBU WAO KWA KUMPA PROMOTA KIBALI CHA KURUHUSU PAMBANO AMBALO NI FEKI WAKATI SIYO KWELI , MIMI BANAFSI NILIPATA NAFASI YA KUONGEA NA CHEKA NI KWA NINI ALIPIMA UZITO HALI AKIJUWA HATACHEZA PAMBANO ? NA KWA NINI ALIFIKA UWANJANI HALI AKIJUWA HACHEZI PAMBANO ? ALISHINDWA KUNIJIBU .MAHOJIANO HAQYA TULIYAFANYA SIKU YA PAMBANO NDANI YA UWANJA WA TAIFA.
TPBO INAAMINI KWA DHATI KABISA KWAMBA LENGO LA FRANCIS CHEKA LILIKUWA NI KUJARIBU KUTENGENEZA MAAFA MAKUBWA AMBAYO YANGESABABISHA UVUNJIFU WA AMANI KWA KWA MASHABIKI AMBAO WALIKUJA MAHUSUSI KUANGALIA PAMBANO LILE .
NDG ZANGU WAANDISHI WOTE HEBU JIULIZENI KAMA PAMBANO HILI LINGEKUWA NI LA KAWAIDA NA LIMEPANGWA KUFANYIKA KATIKA UKUMBI WOWOTE ,NA PROMOTA AMESHAWATOZA WATU PESA NA WAMEJAA UKUMBINI ,NA KISHA FRANCIS CHEKA AMEINGIA UKUMBINI NA KISHA KUKATAA KUPIGANA JE MNADHANI MASHABIKI WANGEKUBALI ?

NI LAZIMA WANGEFANYA VURUGU KUBWA AMBAYO INGEWEZA HATA KUPOTEZA MAISHA YA WATU WENGI SANA NA VYMBO VYENU VYA HABARI VINGEKUWA NA KAZI KUBWA SANA YA KUWAHABARISHA WATANZANIA JUU YA MAAFA HAYO AMBAYO YANGSABABISHWA NA UJINGA WA MTU MMOJA TU FRANCIS CHEKA.
TPBO IMESIKITISHWA SANA NA TUKIO HILI AMBALO LIMEUVUNJIA KABISA HESHIM A MCHEZO HUU ,NA HASA UKUZINGATIA KWAMBA VIKUNDI MBALIMBALI VILISHIRIKI KUCHANGIA UJENZI WA MABWENI A WASICHANA NA HATA WAREMBO WALIJITOLEA KUPANDA ULINGONI KWA LENGO LA KUCHANGIA ELIMU.
TPBO INAWAPONGEZA WASANII WOTE WA BONGO MOVIE ,WANAMUZIKI WA AINA ZOTE ,NA WABUNGE WOTE KWA MOYO WAO WA HURUMA WALIOUNYESHA KUFANIKISHA LENGO LA TAMASHA HILO .PIA PONGEZI KWA MABONDIA WOTE WALIOKUBALI KUSHIRIKI KUCHANGIA.
BONDIA FRANCIS CHEKA AMESHINDWA KABISA KUWATHAMINI WANAJAMII AMBAO KWA MCHANGO YAO WAMWEZA KUMFANYA AJULIKANE TANZANIA NZIMA NA AMEWADHARAU SANA NA AMUVJUNJIA HESHIMA MCHEZO WA NGUMI ZA KULIPWA KWA UJUMLA WAKE NA AMEUDHALILISHA SANA MCHEZO HUU MBELE YA JAMII YA KITANZANIA NA AMEWAFANYA MAADUI WASIOUTAKIA MEMA MCHEZO HUU KWA KUTOKUUDHANINI WAAMINI KWAMBA HUU NI MCHEZO WA WAHUNI NA WAVUTA BANGI .
IMANI ZA TPBO
KUTOKANA NA MAELEZO YOTE NILIYOYATOWA KWENU NI VIZURI PIA MKAJUWA IMANI ZA TPBO.
[1] TPBO INAAMINI KABISA KWAMBA INAAMINIWA NA WATANZANIA WOTE WAPENDAO NGUMI ZA KULIPWA KOTE NCHINI TANZANIA NA INAZINGATIA NIDHAMU NA INAPIGA VITA UTUMIAJI WA MADAWA YA KULEVYA MICHEOZNI ,NA HATA BIASHARA YENYEWE YA MADAWA HAYO. KWA WANAMICHEZO WOTE NCHINI
[2] TPBO INAAMINI KABISA KWAMBA NGUMI ZA KULIPWA NI KAZI KAMA KAZI NYINGINE AMBAZO HUMPATIA BINAADAMU KIPATO CHA HALALI ILI KUJIKIMU KIMAISHA.
[3]TPBO INAAMINI KABISA KWAMBA HAKUNA BONDIA YEYOTE MWENYE AKILI TIMAMU AWEZAYE KIDHARAU JAMII IILYOMZUNGUUKA NA KUFANYA AWEZE KUFANYA MABO AMBAYO YATAIKERA JAMII HIYO .
[4] TPBO INAAMINI KWAMBA KILA BONDIA ANAZO HAKI SAWA ZA KUTETEWA NA KULINDIWA HAKI ZAKE PAKE ZINAPOKUWA HATARINI KUPOTEA.
[5] TPBO INAAMINI KABISA KWAMBA WAKUZAJI [MAPROMOTA] WATAPEWA MSAADA MKUBWA PALE WANAPOANDAA MAPAMBANO YAO NA WANAPATA USHIRIKIANO WA DHATI KUTOKA KWA MABONDIA ,IKWA NI PAMOJA NA KUTANGAZIWA MAPAMBANO YAO KWA USHIRIKIANO MKUBWA NA MABONDIA WAHUSIKA.
[6] TPBO INAAMINI KABISA KWAMBA WAPENZI WA NGUMI ZA KULIPWA WANAZO HAKI ZA KUPATA BURDANI YA MCHEZO HUU IL WAEENDELEE KUUPENDA KWA FAIDA YA MABONDIA WOTE .
[7] TPBO INAAMINI KILA BONDIA ANAPASWA HUHESHIMIWA NA HAKUNA BONDIA ALIYE JUU YA SHERIA NA KANUNI ZA MCHEZO ZIENDESHAZO NGUMI ZA KULIPWA.
NA TPBO INAAMINI KABISA KWAMBA MWENYE MAMLAKA YA KUBADILISHA MPINZANI WA CHEKA NI PROMOTA NA SIYO BONDIA NDIPO CHAMA HUSIKA KINATOWA KIBALI KWA AJILI YA PAMBANO HILO ,NA NDIYO MAANA HATA RAIS WA TPBC KUPITIA VYOMBO VYA HABARI ALIUTANGAZIA UMMA WA WATANZANIA KWAMBA ANAITAMBUWA MKATABA /MIKATABA ALIYOISANI FRANCIS CHEKA KUPAMBANA NA JAPHET KASEBA.
MAAMUZI MAGUMU YA TPBO
KWA KUWA JAMII YA WAPENZI WA NGUMI ZA KULIPWA WAMEFADHAISHWA SANA NA TUKIO LILIOFANYWA NA BONDIA FRANCIS CHEKA NAMI NAUNGANA NAO KTK MFADHAIKO HUO NA KUWAOMBA MSAMAHA KWA TUKIO HILO ,NA ILI KUHAKIKISHA KWAMBA SOTE TUMEFADHAISHWA NA JAMBO HILO-;
TPBO INAMUONDOWA RASMI BONDIA FRANCIS CHEKA KATIKA ORODHA YA MABONDIA INAOWATAMBUWA NA HAITAFANYA NAYE KAZI YA IANA YOYOTE KTK ULIMWENGU WA MASUMBWI KTK KIPNDI CHOTE CHA UHAI WA TPBO. NA UHAI WANGU BINAFI.
HII HAINA MAANA KWAMBA ANAKATAZWA KUCHEZA NGUMI ,LA BALI HUU NI MSIMAMO WA TPBO ,NA DAIMA MIMI HUIFANANISHA TPBO NA SIMBA DUME LENYE MENO NA AMBALO HALITAKI KULA MIZOGA , LKN KAMA VIKO VYAMA NINAVYODHANI KWAMBA BILA CHEKA HAVIWEZI KUIMARIKA NA VIMTUMIE SINA PINGAMIZI NAVYO.
TPBO IPO IMARA NA ITAENDELEA KUWA IMARA KWA KUFANYA KAZI NA MABONDIA WENYE NIDHAMU NA KATIKA MAAMUZI YETU HATUMUOGOPI YEYOTE ILI MRADI TUMO NDANI YA SHERIA NA KANUNI ZA MCHEZO
KWA TAARIFA HII NINAUFUNGA RASMI MJADALA KUHUSU BONDI FRANCIS CHEKA.
YASSIN ABDALLAH -USTAADH

RAIS-TANZANIA PROFESSIONAL BOXING ORGANISATION-TPBO

Comments

Popular posts from this blog

Thousands of protesters clash with police in Chicago: Chaos in the Windy City as 45 activists arrested and one cop stabbed after demonstrators target NATO

By DAILY MAIL REPORTER Thousands of demonstrators upset with the war in Afghanistan, climate change and the erosion of union rights have raised the intensity of a march in downtown Chicago on Sunday as world leaders assembled for a NATO summit. The protest, one of the city's largest in years, turned violent at the end of an anti-NATO march, where demonstrators confronted Chicago police, pushing against a line of officers several blocks from the lakefront convention center where President Obama hosted a gathering of world leaders. Authorities were seen making arrests one by one and leading individual demonstrators away in handcuffs. After a clash near McCormick Place, Chicago Police Superintendent Garry McCarthy said at a news conference that the protests resulted in 45 people being arrested and four officers suffering injuries - one from a stab wound in the leg. Scroll down for video Clash: Demonstrators try to flee the police as they are move in on them ...

MBINU ZA KUMFIKISHA MWANAMKE MWENYE MAKALIO MAKUBWA KILELENI KWA HARAKA

Kwa kawaida wanawake wanafikia kilele (mwisho wa utamu wa ngono) kati ya dakika ishirini na saa moja, yaani kwa kifupi inawachukua muda mrefu sana hali inayopelekea mpenzi mvivu kuchoka na ufanyaji wake utakuwa wa “ovyo” hali itakayo kufanya wewe kuishiwa na hamu ya kuendelea. Pamoja na kuchelewa huko ambako kunatokana na utofauti wetu kati ya mwanaume na mwanamke lakini nakumbuka hapo nyuma nilikutana na wanawake 2 waliokuwa ndani ya ndoa na wamezaa lakini hawajawahi kabisa kujua utamu wa tendo hilo alimaharufu kama “kufanya mapenzi”. Natambua kuwa ni ngumu au niseme si wanawake wote ambao wamejaaliwa kimaumbile kwamba wanafanikiwa kufika kileleni zaidi ya mara mbili kila wanapofanya mapenzi/ngono (kumbuka ni kati ya dakika 15 na saa moja hivyo Jibaba hapa awe na uwezo wa kujizuia kwa zaidi ya dk 45) na ikiwa jamaa ni “mzamiaji” basi unaweza ukaondoka na goli 3 ktk mzunguuko mmoja. Lakini kwa nini basi baadhi yao tu ndio wafike kileleni na wengine was...

LEO NI BUNGE LA BAJETI

Waziri wa Fedha na Uchumi, Mustafa Mkulo. -WANANCHI WATAKA IPUNGUZE UKALI WA MAISHA MACHO na masikio ya mamilioni ya Watanzania na wadau wa nje, leo yanaelekezwa Dodoma ambako Bajeti ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2011/12 itasomwa.Wananchi wengi wamekuwa na shauku ya kujua mwelekeo wa bajeti hiyo hasa katika kipindi hiki ambacho wanakabiliwa na hali ngumu ya maisha iliyotokana na kupanda kwa bei vyakula na bidhaa za mafuta. Kwa takriban wiki nzima iliyopita, baadhi ya wananchi wamekuwa wakituma ujumbe mfupi wa maandishi kwa simu katika vyombo vya habari, wakiisihi serikali kuhakikisha kuwa bajeti ya mwaka huu inawaondoa katika hali ngumu ya maisha. Bajeti hiyo itakayosomwa bungeni na Waziri wa Fedha na Uchumi, Mustafa Mkulo itatangazwa kwa wakati mmoja na bajeti za serikali za nchi zote za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), katika mtazamo wa kuimarisha mshimakano na umoja wa nchi hizo. Kwa kawaida na mazoea ya muda mrefu, baj...