Bi.
Aziza Juma (27), mkazi wa Wilaya ya Kishapu, mkaoni Shinyanga akitoa
akitoa maoni yake kuhusu Katiba Mpya kwa Tume ya Mabadiliko ya Katiba
ilipofanya mkutano kijijini hapo jana (Alhamisi, Julai 26, 2012)
Mwenyekiti
wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Mstaafu Joseph Warioba katika
picha ya kumbukumbu na wanafunzi wa Shule ya Msingi Michungwani iliyopo
kijiji cha michungwani, Kata ya Segera wilayani Handeni mkoani Tanga
mara baada ya mkutano wa kukusanya maoni kuhusu Katiba Mpya.
Comments