Meya wa manispaa ya Songea mstahiki Charles Mhagama akisamiana na rais mstaafu wa awamu wa tatu Mhe Benjamin Mkapas baada ya kutua mjini Songea
Kaimu mkuu wa mkoa wa Ruvuma Joseph Mkirikiti kushoto akimuongoza Rais Mstaafu wa awamu ya tatu Mhe Benjamin Mkapa kwenda kuangalia vikundi vya ngoma katika uwanja wa ndege mjini Songea.
Rais wa awamu ya tatu Mhe Benjamin Mkapa akiangalia vikundi vya ngoma (havipo pichani) katika uwanja wa ndege wa Songea akiwa na kaimu mkuu wa mkoa wa Ruvuma Mhe Joseph Mkirikiti. Katikati ni mwenyekiti wa CCM mkoa Cornel Msuha kulia ni mama Anna Mkapa na wa pili kulia mke wa mkuu wa mkoa wa Ruvuma Said Mwambungu Mama Afisa Mwambungu. PICHA NA MUHIDIN AMRI
Comments