Chuo Cha Ufundi Arusha (ATC) Na Taasisi Ya Sayansi Na Teknolojia Karume (KIST) Wasaini Ushirikiano (MoU)
Mkuu
wa Taasisi ya Sayansi na Teknolojia Karume (KIST), Haji Abdulhamid
(kushoto) akiweka saini ya Ushirikiano (MoU) na Chuo cha Ufundi Arusha
(ATC). Kulia ni Mkuu wa Chuo cha Ufundi Arusha , Dkt. Richard Masika
Mweyekiti
wa Baraza la Taasisi ya Sayansi na Teknolojia Karume (KIST), Mohammed
Fakih Mohammed (wa tatu kulia) akipokea maelezo mafupi kuhusu mtambo wa
kufua umeme uliotengenezwa na chuo cha Ufundi Arusha. Chanzo:
www.fullshangweblog.com
Comments