Meneja Mkuu wa Nokia Tanzania, Samson Mwajwala akionesha aina ya simu ya Nokia Asha 200 inayouzwa kwa shilingi 149,999 pamoja na muda wa bure wa maongezi na MB 125. Simu ingine ya Nokia Asha 302 inauzwa kwa shilingi 219,000 wateja watapata MB 500 kwa miezi sita mfululizo baada ya kuweka muda wa maongezi wa Shilingi 1000, 2000, au 5000 huku huduma ya facebook, twitter na Wikipedia zikiendelea kuwa bure, katikati Mkuu wa Kitengo cha Bidhaa wa Vodacom Tanzania, Mngopelinye Kiwanga na Meneja bidhaa wa Vodacom Elihuruma Ngowi.
Mkuu
wa Kitengo cha Bidhaa wa Vodacom Tanzania, Mngopelinye Kiwanga,
akiongea na waandishi wa habari wakati wa uzinduzi wa simu aina ya
Nokia Asha 200 na Nokia Asha 203, Nokia Asha 200 inayouzwa kwa shilingi
149,999 pamoja na muda wa bure wa maongezi na MB 125.Simu ya Nokia Asha
302 inayouzwa kwa shilingi 219,000 wateja watapata MB 500 kwa miezi
sita mfululizo baada ya kuweka muda wa maongezi wa Shilingi 1000, 2000,
au 5000 huku huduma ya facebook, twitter na Wikipedia zikiendelea kuwa
bure,wanaoshuhudia kushoto ni Meneja Mkuu wa Nokia Tanzania Samson
Mwajwala na kulia ni Meneja bidhaa wa Vodacom Elihuruma Ngowi.
Comments