Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akipeana mikono na Mkuu wa madhehebu ya Shia
Ismailia duniani,H.H. Karim Aga Khan, wakati alipomkaribisha Ikulu
jijini Dar es salaam leo Julai 18, 2012 kwa mazungumzo na baadaye
chakula cha mchana.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha kwa chakula cha mchana Mkuu wa
madhehebu ya Shia Ismailia duniani,H.H. Karim Aga Khan, na ujumbe wake
wakati alipomkaribisha Ikulu jijini Dar es salaam leo kwa mazungumzo na
baadaye chakula cha mchana.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mazungumzo na Mkuu wa madhehebu ya
Shia Ismailia duniani,H.H. Karim Aga Khan, wakati alipomkaribisha Ikulu
jijini Dar es salaam leo kwa mazungumzo na baadaye chakula cha mchana.
(Picha ya pili kukulia) Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimsindikiza Mkuu
wa madhehebu ya Shia Ismailia duniani,H.H. Karim Aga Khan, wakati
alipomkaribisha Ikulu jijini Dar es salaam leo kwa mazungumzo na
baadaye chakula cha mchana. Piacha IKULU
Comments