Mbunifu
wa mavazi wa kimataifa Mustafa akimkabidhi zawadi ya gauni lenye
thamani ya shilingi 500,000 Miss Dar Intercollege 2012 Hilda Edward
ofisini kwake jana, anayeshuhudia ni mratibu wa shindano hilo, Dina
Ismail.
Mbunifu
wa mavazi wa kimataifa Mustafa akimkabidhi zawadi ya gauni lenye
thamani ya shilingi 300,000 Mshindi wa pili wa Miss Dar Intercollege
2012 Jamila Hassan ofisini kwake jana, anayeshuhudia ni mratibu wa
shindano hilo, Dina Ismail.
Mbunifu
wa mavazi wa kimataifa Mustafa katika picha ya pamoja na wawakilishi wa
kitongoji cha Miss Dar Intercollege katika shindano la Miss Higher
Learning 2012, Hilda Edward na mshindi wa pili Jamila Hassan pamoja na
mratibu Dina Ismail ofisini kwake jana,



Comments