Mwenyekiti
wa CCM Mkoa wa Mjini Magharibi Yussuf Mohd Yussuf akitoa hotuba ya
Kumkaribisha Naibu Katibu Mkuu wa CCM Vuai Ali Vuai ili kufungua Mkutano
Mkuu Maalum wa Uchaguzi wa Kumpata Mgombea Uwakilishi Jimbo la Bububu
kufuatia Kifo cha aliekuwa Mwakilishi wa Jimbo hilo,Mkutano uliofanyika
katika Ukumbi wa Chuo cha Utalii Maruhubi Zanzibar.
Baadhi
ya Wanachama wa Chama cha Mapinduzi CCM waliohudhuria katika Mkutano
Mkuu Maalum wa Uchaguzi wa Kumpata Mgombea Uwakilishi Jimbo la Bububu
kufuatia Kifo cha aliekuwa Mwakilishi wa Jimbo hilo,Mkutano uliofanyika
katika Ukumbi wa Chuo cha Utalii Maruhubi Zanzibar.
Wanachama
wa Chama cha Mapinduzi CCM wakishangilia Hotuba ya Naibu Katibu Mkuu wa
CCM Vuai Ali Vuai katika Ufunguzi wa Mkutano Mkuu Maalum wa Uchaguzi wa
Kumpata Mgombea Uwakilishi Jimbo la Bububu kufuatia Kifo cha aliekuwa
Mwakilishi wa Jimbo hilo,Mkutano uliofanyika katika Ukumbi wa Chuo cha
Utalii Maruhubi Zanzibar.
Comments