Lisa Jensen akiteta jambo na Mkurugenzi wa Kampuni ya Lino Agency, Hashim Lundenga leo kabla ya kwenda China.
Mrembo wa Tanzania, Lisa Jensea akila pozi lililojaa tabasamu akiwa kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar es Salaam jana.
Mrembo wa Tanzania, Lisa Jenses akiwa na Mkurugenzi wa Kampuni ya Lino Agency, waandaaji wa shindano la Miss Tanzania, Hashim Lundenga (kushoto) na mkuu wa itifaki, Albert Makoye kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar es Salaam jana. Inatoka kwa mdau.

Comments